Safi David, ndo kuwa focused huko. Ungeenda six sawa ungepata chuo lakini huna hata chembe ya ujuzi. So kuamua njia ya diploma kwa malengo ndo njia bora. Mdogo wangu nae nimempeleka diploma ili apate ujuzi, route ya f6 ni nzuri ila siikubali sana mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usemi hu ni kweli waungwana
mie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.
sambamba na kusoma masomo ya engineering nasoma advanced maths pamoja na physical science, kiasi kwamba nikijilinganisha na yule wa PCM nakua nimekosa chemistry tu(ambayo almost haina maana kwangu kwasababu nasoma civil engineering)
hao mnaowaita "wana uelewa mkubwa" sijui "madesigner" nilikua nao nafanya nao field, nimewaona vitu vingi vidogo vidogo hawavielewi sa sijui kama watakua wanaweza kudesign nini!!
kusema kweli hii elimu tunayoipata huku ni safi sana. ila mfumo haupo vizuri kwa kiasi flani kwa sababu wanaendekeza kupokea feilures.... ila kama hivi vyuo vingekua vinajazwa na wale ambao ni direct from school(ambao ni government sponsored) tanzania ingejivunia wataalamu safi sana kutoka kwenye hivi vyuo!

hahahahah cku zote mti wa matunda ndo unapigwa mawe loh......
Mkandaharasi yuko sahihi kabisa,mi nasoma diploma ya mining engineering pale DIT,ila tulipo enda kufanya field TAZARA Mbeya,jamaa wa UDSM wanaosoma Mining Engineering walikua shallow kuliko layman anavyodhani,wao kila kitu either tuwasaidie au waingie mtandaoni!,duh
Badala ya kujidanganya work hard mkifikishe hicho chuo chenu cha dit kwenye hizo levels mnazotaka, mie ni experienced Engineer na tatizo tunalopata kwa Graduates ni mfumo wa elimu coz hata walimu wenu huwa wanashangaa kuona mambo yanayotokea kwenye industry wakifananisha na wanayofundisha,wote udsm or dit mko shallow but theoritical ability ku-grab vitu haraka kwa mahitaji ya industry udsm wana better foundation. Just work hard and you will be there.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Unafananisha Institute na University?
Unafananisha Institute na University?
Basi hawa ulokuwa field ndo hawajui.. Badly enough unaosema hawajui na Mkuu wa chuo chako ndo katokea huko huko. Sasa we utafundishwaje na wasiojua..Ud Juuuumie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.