Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Safi David, ndo kuwa focused huko. Ungeenda six sawa ungepata chuo lakini huna hata chembe ya ujuzi. So kuamua njia ya diploma kwa malengo ndo njia bora. Mdogo wangu nae nimempeleka diploma ili apate ujuzi, route ya f6 ni nzuri ila siikubali sana mm
 
Wandugu hakuna haja ya kulumbana juu ni nani bora kuliko mwenzake,Hakuna umahiri wowote utapatikana eti kwa kuwa alisoma COET ama DIT,huku makazini tutakupima kutokana na utendaji wako kumbuka vyuo vyote hivyo vinafundisha kinadharia ni wakati mdogo tu mwanafunzi anapata muda wa kujifunza kwa vitendo.Leo hii kupitia ERB wakaliona hilo wakaanzisha SEAP program kuwawezesha hawandisi wahitimu kupata ujuzi wakiwa mafunzoni kwa miaka mitatu lakini jee ni sahihi kwa miaka 3 mtu kuwa mahiri hata kuitwa "Proffesional Engineer"?siku hizi teknolojia inabadilika kila kukicha je yafaa kuandika "report" mwisho wa mafunzo ya miaka 3 na kupata cheti cha umahiri wa fani fulani,na jee tungeweza kujiuliza ili Mhandisi aitwe mjuzi wa kitu fulani ni miaka mingapi inamtosha je ni 1,3,5 au 10?.Leo hii tuna wahandisi wengi ambao wameshatunukiwa vyeti vya umahiri lakini unajiuliza ni kweli wanastahiki kuwa na hivyo vyeti mpaka sasa?.Hiki chombo cha kusajili wahandisi (ERB)kinaongozwa na kina nani hasa,wanaujuzi na uweledi gani juu ya taaluma ya Uhandisi?je ni watu waliojifunza kinadharia na vitendo?vipi uelewa wao juu ya teknolojia mbalimbali katika taaluma hii,haitoshi mtu kuitwa Profesa au kuwa na shahada ya udaktari katika uhandisi ikawa ni sababu ya kuwa pale.Kwa mawazo yangu nafikiri ni wakati muafaka wakujua msimamo wa hiki chombo na mstakabali wa taaluma ya uhandisi katika nchi yetu.
 
Hao wanaosema DIT wanatoa mafundi mchundo wanaishi dunia gani, hiyo ilikuwa zamani lakini siku hizi DIT inatoa mpaka Masters.

Kinachoongelewa hapa ni kulinganisha wasomi wawili wenye level moja mfano Bachelor in Electronics and Telecomunication Engineering. Huyu wa DIT atakuwa yuko deep sana kwenye masuala ya field tofauti na yule wa UDSM labda vyuo vingine vya binafsi na sio sijui COET.... Tupo maofisini tunaona.
 
Jidu, kuhusu nani ana access wakat wa mhandis anapopewa usajil kuwa Prof Eng, ni jopo la wataalam kutoka sehemu tofauti ikiwemo wahandis washaur(Consulting Engineers) na wenyewe ERB. Wakati wa kuaccess huchaguliwa mwenyekiti nae siyo wa ERB. Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa ueledi huzingatiwa,japo mapungufu yanaweza kuwepo
 
Mmmh, grammatically kuna ly na lly, ambazo huwezi kuziunga kwa pamoja. Wataalam watuambie
 
mie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.
sambamba na kusoma masomo ya engineering nasoma advanced maths pamoja na physical science, kiasi kwamba nikijilinganisha na yule wa PCM nakua nimekosa chemistry tu(ambayo almost haina maana kwangu kwasababu nasoma civil engineering)

hao mnaowaita "wana uelewa mkubwa" sijui "madesigner" nilikua nao nafanya nao field, nimewaona vitu vingi vidogo vidogo hawavielewi sa sijui kama watakua wanaweza kudesign nini!!

kusema kweli hii elimu tunayoipata huku ni safi sana. ila mfumo haupo vizuri kwa kiasi flani kwa sababu wanaendekeza kupokea feilures.... ila kama hivi vyuo vingekua vinajazwa na wale ambao ni direct from school(ambao ni government sponsored) tanzania ingejivunia wataalamu safi sana kutoka kwenye hivi vyuo!
 
Inferiority complex. Muda mwingi watu wasiopitia UDSM wanahoji hili swali kila mahali. Whats wrong? Hao wanaokufundisha leo walikuwa wakufunzi FOE na hata huyo head wa MUST alikuwa katika department ya Civil Engineering UDSM. May be kama wamepika mtaala mpya. Hizi taaluma zina malengo yake.
 
Mkandaharasi yuko sahihi kabisa,mi nasoma diploma ya mining engineering pale DIT,ila tulipo enda kufanya field TAZARA Mbeya,jamaa wa UDSM wanaosoma Mining Engineering walikua shallow kuliko layman anavyodhani,wao kila kitu either tuwasaidie au waingie mtandaoni!,duh
 
Badala ya kujidanganya work hard mkifikishe hicho chuo chenu cha dit kwenye hizo levels mnazotaka, mie ni experienced Engineer na tatizo tunalopata kwa Graduates ni mfumo wa elimu coz hata walimu wenu huwa wanashangaa kuona mambo yanayotokea kwenye industry wakifananisha na wanayofundisha,wote udsm or dit mko shallow but theoritical ability ku-grab vitu haraka kwa mahitaji ya industry udsm wana better foundation. Just work hard and you will be there.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Products!!!
 
DIT NA MUST mnajua wameanza kutoa degree mwaka ugani? UDSM tokea mwaka 1973 ,hivyo DIT vimekuwepo tokea mwaka 1957 lakini wanalikuwa wanatoa Diploma badae advanced diploma mpaka JK alivoingia madarakani wakaanza kutoa degree ,so huku mtaani wa DIT walio wengi ni technicians ,maengineer wameanza juzi juzi,Fuatilieni hiyo kitu inaitwa ENGINEERS REGISTRATION BOARD(ERB) Wamejazana UDSM tu, COET.Ukiwa na kidiploama chako huwezi kuwa member wa board ya uhandisi.So ubora wa maengieer wa UDSM,DIT au MUST mnazungumzia in five years wakati DIT wameanza kutoa maengieer?
 
Unafananisha Institute na University?

hamna kitu unajua wewe...
kuna vyuo vingi vikubwa sana ulimwenguni vinaitwa institute....kwa mfano MIT ni chuo kikubwa sana kwa technology na kinafahamika xana na wala hakijawahi kuitwa university.. kama hujui tofaut ya hayo majina uliza uambiwe sio unaropoka tu.
 
mie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.
sambamba na kusoma masomo ya engineering nasoma advanced maths pamoja na physical science, kiasi kwamba nikijilinganisha na yule wa PCM nakua nimekosa chemistry tu(ambayo almost haina maana kwangu kwasababu nasoma civil engineering)

hao mnaowaita "wana uelewa mkubwa" sijui "madesigner" nilikua nao nafanya nao field, nimewaona vitu vingi vidogo vidogo hawavielewi sa sijui kama watakua wanaweza kudesign nini!!

kusema kweli hii elimu tunayoipata huku ni safi sana. ila mfumo haupo vizuri kwa kiasi flani kwa sababu wanaendekeza kupokea feilures.... ila kama hivi vyuo vingekua vinajazwa na wale ambao ni direct from school(ambao ni government sponsored) tanzania ingejivunia wataalamu safi sana kutoka kwenye hivi vyuo!
Basi hawa ulokuwa field ndo hawajui.. Badly enough unaosema hawajui na Mkuu wa chuo chako ndo katokea huko huko. Sasa we utafundishwaje na wasiojua..Ud Juuuu
 
Theres a big difference kati ya engineer wa UDSM na DIT .. hasa katika utendaji na upangiliaji wa mambo .. UDSM offers B.Sc which is more of theories and administrative thats why wengi wapo jobless compared to a B.ENG ambaye yupo technically competetive na anaweza kuongoza! . . The world is on a transition on what you could DO and not much of what you could achieve academically..
 
Back
Top Bottom