Wa UD ndio wanaowa simamia wa DIT na MUST, kwan wa UD ni designer wazuri ila sio kiutendaji ,
hebu jaribu kuelewa basi! Nimesema hivi kuanzia 2010
kurudi nyuma waliokuwa wanaenda dit,must ni wale waliomiss a'level au wamefeli a'level..! Najua kwamba wapo waliokuwa wanafadhliwa na serikali baada ya kufaulu form four ndo wapo kwenye kundi la waliomiss a'level
so kwa kuwa dit, must wameanza kutoa degree so baada ya miaka ..10 ndo ulinganishe na udsm bt nw udsm still the best
darius, eti waliomiss a level? Hujui ukisemacho. Yaani yale majembe ambao pcm tulifaulu sana tena division1 za points 7 na kuendekea tuliweka f6 kama chaguo la pili kwa kukwepa kukariri notisi za secondary. Itakumbukwa kuwa f6 ni advanced tu ya f4 siyo taaluma yenye ujuzi. Ni kupoteza muda tu. Kwa hiyo si kweli kuwa eti kwenda dit au must,tca ni kuwa mtu alikosa nafasi. Form6 na shule ya msingi hamna tofauti siyo kwa ugumu, la bali ni ujuzi, so watu ambao wako focused waliachana nayo, kwani walijua degree utapata tu.
mie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.
sambamba na kusoma masomo ya engineering nasoma advanced maths pamoja na physical science, kiasi kwamba nikijilinganisha na yule wa PCM nakua nimekosa chemistry tu(ambayo almost haina maana kwangu kwasababu nasoma civil engineering)
hao mnaowaita "wana uelewa mkubwa" sijui "madesigner" nilikua nao nafanya nao field, nimewaona vitu vingi vidogo vidogo hawavielewi sa sijui kama watakua wanaweza kudesign nini!!
kusema kweli hii elimu tunayoipata huku ni safi sana. ila mfumo haupo vizuri kwa kiasi flani kwa sababu wanaendekeza kupokea feilures.... ila kama hivi vyuo vingekua vinajazwa na wale ambao ni direct from school(ambao ni government sponsored) tanzania ingejivunia wataalamu safi sana kutoka kwenye hivi vyuo!
The great liability of the engineer compared to men of other professions is that his works are out in the open where all can see them. His acts, step by step, are hard in substance. He cannot bury his mistakes in the grave like the doctors
He cannot argue them into thin air or blame the judge like lawyers. He cannot, like the architects, cover his failures with trees and vines. He cannot, like the politicians, screen his shortcomings by blaming his opponents and hope people will forget. The engineer simply cannot deny he did it. If his works do not work, he is damned
On the other hand, unlike the doctor, he is not a life among the weak. Unlike the soldier, destruction is not his purpose. Unlike the lawyer, quarrels are not his daily bread. To the engineer falls the job of clothing bare bones of science with life, comfort, and hope. No doubt as years go by the people forget which engineer did it, even if they ever knew.
Or some politician puts his name on it. Or they credit it to some promoter who used other peoples money. But the engineer himself looks back at the unending stream of goodness which flows from his successes with satisfactions that few professions may know. And the verdict of his fellow professionals is all the accolade he wants.
mkuu wambie tu.
Kusoma advance siyo kigezo cha kuwa fit.
Tumekamua atc na tulisoma na watu waliotoka advance lakini tulikuwa tunawakimbiza ile mbaya mno.
Pili kuhusu udsm na atc, must & dit wale jamaa wa udsm wako shallow sana. Na ndiyo maana walimu wa coet huwa wanaishia kuwadisco vijana wanaotokea nta/ftc kwa kigezo cha kusema kuwa wanawasumbua kisa tayari mambo wanayajua kwa kuofia kuwaumbua namna gani wako zero.
Atc, dit & must is the home of engineers.
"skills make the difference"
acha kupotosha watu bwana ,,,kuna jamaa kama watatu tulikuwa nao kutoka ftc wawili walimaliza mmoja aliliwa kichwa kama vijana wengine 7 wa form 6 walivyoliwa kichwa,,,,,,chuo kama husomi usitegemee kubebwa bebwa kama mnavyobebwa kwenye vyuo vyenu vya kata,,,vinginevyo hizo ni stori tu za vijiweni na vibanda vya kahawa
Udsm bado iko vizuri, wana walimu wazuri wenye uzoefu na labs zakuaminika, wanafunzi ni wale wale tu, ila naamini kama mwanafunzi ana kichwa kizuri akisoma udsm atatoka akiwa vizuri kuliko hivyo vyuo vingine.
Usemi hu ni kweli waungwana
Ha ha! ww kitu st.joseph chezea kitu cha international engineering siyo kufanya mambo kuwa magumu ka vyuo vingine uzoefu field na kazini