Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

in reality DIT kwa watu ambao wanachukua bachelor wapo fiti kote utendaji hadi hiyo knowledge mana ki ukweli huwez tenda jambo kama hujui msingi wake
 
hebu jaribu kuelewa basi! Nimesema hivi kuanzia 2010
kurudi nyuma waliokuwa wanaenda dit,must ni wale waliomiss a'level au wamefeli a'level..! Najua kwamba wapo waliokuwa wanafadhliwa na serikali baada ya kufaulu form four ndo wapo kwenye kundi la waliomiss a'level
so kwa kuwa dit, must wameanza kutoa degree so baada ya miaka ..10 ndo ulinganishe na udsm bt nw udsm still the best

Acha kupotosha umma mkuu mm mwenyewe nilipata 1 form4 lakn nilichagua mwenyewe kwenda kusoma DIT. So co kla anaesoma pale alikosa nafasi ya kwenda a level
 
Mimi ukibadilisha hiki "Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm"
ntarudi kuchangia, lakini before that siwezi...
 
Lakini bado muchango wao kwa taifa hili bado kwani tunaona tender zote wanapewa wachina je tatizo ni mtoa tender kutowaamini wahandisi wetu wa ndani au tatizo ni nini? Hivyo mada iliyoko mezani hapo inanipa wakati mugumu kuamua coz haya kama udsm wanatoa the best lakin wanaenda wapi baada ya kuhitimu
 
darius, eti waliomiss a level? Hujui ukisemacho. Yaani yale majembe ambao pcm tulifaulu sana tena division1 za points 7 na kuendekea tuliweka f6 kama chaguo la pili kwa kukwepa kukariri notisi za secondary. Itakumbukwa kuwa f6 ni advanced tu ya f4 siyo taaluma yenye ujuzi. Ni kupoteza muda tu. Kwa hiyo si kweli kuwa eti kwenda dit au must,tca ni kuwa mtu alikosa nafasi. Form6 na shule ya msingi hamna tofauti siyo kwa ugumu, la bali ni ujuzi, so watu ambao wako focused waliachana nayo, kwani walijua degree utapata tu.

mkuu wambie tu.

Kusoma advance siyo kigezo cha kuwa fit.

Tumekamua atc na tulisoma na watu waliotoka advance lakini tulikuwa tunawakimbiza ile mbaya mno.

Pili kuhusu udsm na atc, must & dit wale jamaa wa udsm wako shallow sana. Na ndiyo maana walimu wa coet huwa wanaishia kuwadisco vijana wanaotokea nta/ftc kwa kigezo cha kusema kuwa wanawasumbua kisa tayari mambo wanayajua kwa kuofia kuwaumbua namna gani wako zero.

Atc, dit & must is the home of engineers.

"skills make the difference"
 
tet teh teh nyie bishaneniiiii ila mjue heshima kazini
mshahara utasema nan bora
 
MUST,DIT,ATC ni technical colleges.Wanatoa B.ENG(Bachelor of Engineering) na sio Bsc.Eng(Bachelor of Science in Engineering

Hizi degree mbili B.Eng na Bsc.Eng zinatofauti ndogo sana.Mfano watu wa Bsc wanafundishwa derivation of a formula and the science behind it ila watu wa B.Eng wanapewa hiyo hiyo formula wanaitumia kwenye mahesabu,hawahitaji derivation

Kuhusu watu wanosema B.Eng hawa design inawezekana hawajui maana ya Engineer.Engineer ni designer technician ni mtendaji

Kuanzia NTA 7B( 3rd year kwa watu wa Bsc) designig inapigwa mbaka unakimbia.Wale wa civil kuna vitu kama Foundation au RCC ni balaa
 
mie ni mwnafunzi wa pale MUST.Nilimaliza form 4 na wala sikupitia huo mkumbo wa a-level. mpaka sa hiv sijaona cha maana mtoto wa a-level anachonizidi.
sambamba na kusoma masomo ya engineering nasoma advanced maths pamoja na physical science, kiasi kwamba nikijilinganisha na yule wa PCM nakua nimekosa chemistry tu(ambayo almost haina maana kwangu kwasababu nasoma civil engineering)

hao mnaowaita "wana uelewa mkubwa" sijui "madesigner" nilikua nao nafanya nao field, nimewaona vitu vingi vidogo vidogo hawavielewi sa sijui kama watakua wanaweza kudesign nini!!

kusema kweli hii elimu tunayoipata huku ni safi sana. ila mfumo haupo vizuri kwa kiasi flani kwa sababu wanaendekeza kupokea feilures.... ila kama hivi vyuo vingekua vinajazwa na wale ambao ni direct from school(ambao ni government sponsored) tanzania ingejivunia wataalamu safi sana kutoka kwenye hivi vyuo!

Unataka uniambie hakuna hata mtu mmoja ambaye wewe unamuita failure aliyepitia pre entry course anayefanya vizur zaid hapo mist kuliko wewe?? usijifanye unauwezo wakufikilia zaid wewe kulko walotangulia nakuamua kuwaweka hao unaowaita failures
 
Kama umesoma diploma DIT nenda kasome Bachelor Degree y Engineering UDSM kama Utamaliza,Sensa ni kwamba waliosoma diploma DIT au Chuo cha MAJI huwa hawalizi Degree wakienda UDSM, wanadisco..........Malizia huu ikweli
 
UHANDISI ni nini..? uhandisi ni matokeo ...Matokeo ni maendeleo kwa jamii inayokuzunguka... maendeleo ya sayansi na teknolojia ...Mhandisi anayejitambua anajua ana jukumu lipi lkwenye jamii inayomzunguka... na matokeo yake tutayaona...

“Engineers do not lie, cheat or steal and always have safety in mind.”
 
The great liability of the engineer compared to men of other professions is that his works are out in the open where all can see them. His acts, step by step, are hard in substance. He cannot bury his mistakes in the grave like the doctors

He cannot argue them into thin air or blame the judge like lawyers. He cannot, like the architects, cover his failures with trees and vines. He cannot, like the politicians, screen his shortcomings by blaming his opponents and hope people will forget. The engineer simply cannot deny he did it. If his works do not work, he is damned…
On the other hand, unlike the doctor, he is not a life among the weak. Unlike the soldier, destruction is not his purpose. Unlike the lawyer, quarrels are not his daily bread. To the engineer falls the job of clothing bare bones of science with life, comfort, and hope. No doubt as years go by the people forget which engineer did it, even if they ever knew.
Or some politician puts his name on it. Or they credit it to some promoter who used other people's money. But the engineer himself looks back at the unending stream of goodness which flows from his successes with satisfactions that few professions may know. And the verdict of his fellow professionals is all the accolade he wants."
 
The great liability of the engineer compared to men of other professions is that his works are out in the open where all can see them. His acts, step by step, are hard in substance. He cannot bury his mistakes in the grave like the doctors

He cannot argue them into thin air or blame the judge like lawyers. He cannot, like the architects, cover his failures with trees and vines. He cannot, like the politicians, screen his shortcomings by blaming his opponents and hope people will forget. The engineer simply cannot deny he did it. If his works do not work, he is damned…
On the other hand, unlike the doctor, he is not a life among the weak. Unlike the soldier, destruction is not his purpose. Unlike the lawyer, quarrels are not his daily bread. To the engineer falls the job of clothing bare bones of science with life, comfort, and hope. No doubt as years go by the people forget which engineer did it, even if they ever knew.
Or some politician puts his name on it. Or they credit it to some promoter who used other people’s money. But the engineer himself looks back at the unending stream of goodness which flows from his successes with satisfactions that few professions may know. And the verdict of his fellow professionals is all the accolade he wants.”

Naomba uni PM! Andiko hili lazima nilisave halafu nitaliprint. Kwa kuwa sasa niko na kasimu kangu siwez copy na kupaste ujumbe huu mzito!
 
mkuu wambie tu.

Kusoma advance siyo kigezo cha kuwa fit.

Tumekamua atc na tulisoma na watu waliotoka advance lakini tulikuwa tunawakimbiza ile mbaya mno.

Pili kuhusu udsm na atc, must & dit wale jamaa wa udsm wako shallow sana. Na ndiyo maana walimu wa coet huwa wanaishia kuwadisco vijana wanaotokea nta/ftc kwa kigezo cha kusema kuwa wanawasumbua kisa tayari mambo wanayajua kwa kuofia kuwaumbua namna gani wako zero.

Atc, dit & must is the home of engineers.

"skills make the difference"

acha kupotosha watu bwana ,,,kuna jamaa kama watatu tulikuwa nao kutoka ftc wawili walimaliza mmoja aliliwa kichwa kama vijana wengine 7 wa form 6 walivyoliwa kichwa,,,,,,chuo kama husomi usitegemee kubebwa bebwa kama mnavyobebwa kwenye vyuo vyenu vya kata,,,vinginevyo hizo ni stori tu za vijiweni na vibanda vya kahawa
 
tatizo huna experience yeyote ile na hivi vyuo. kuviita vyuo vya kata ni ufinyu mdogo wa akili ulionao.
 
Udsm bado iko vizuri, wana walimu wazuri wenye uzoefu na labs zakuaminika, wanafunzi ni wale wale tu, ila naamini kama mwanafunzi ana kichwa kizuri akisoma udsm atatoka akiwa vizuri kuliko hivyo vyuo vingine.
 
Academically utakuwa correct !

Ila sio what do they do !
 
Ha ha! ww kitu st.joseph chezea kitu cha international engineering siyo kufanya mambo kuwa magumu ka vyuo vingine uzoefu field na kazini
 
Ha ha! ww kitu st.joseph chezea kitu cha international engineering siyo kufanya mambo kuwa magumu ka vyuo vingine uzoefu field na kazini

kwa hao wahindi,nackia mnakaa class kama primary au sec mpaka saa 11 jion,kweli mkuu
 
Back
Top Bottom