Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.

DIT is everything...
 
lazima utofauti uwepo UDSM inatengeneza wasomi(academicians) wakati hawa wengine wanatengeneza watendaji(technicians).
NEED I SAY MORE?

mkuu ENGINEERS na TECHNICIANS NI KADA MBILI TOFAUTI NA HIZO ZOTE ZINAPATIKANA DIT,kuna BACHELOR DEGREE (Beng)na ORDINARY DIPLOMA (OD)
 
mkuu ENGINEERS na TECHNICIANS NI KADA MBILI TOFAUTI NA HIZO ZOTE ZINAPATIKANA DIT,kuna BACHELOR DEGREE (Beng)na ORDINARY DIPLOMA (OD)

Ninalolijua mimi ni kwamba wote wanakuwa train kwa mtaala mmoja up to a certain level..na wengine wanaenda mbele zaidi ndo wanapewa degree!thats why product hizi mbili hazitofautiani sana.
 
huu mjadala uibuka kila baada ya miezi sita.....haya ngoja tuone hii ligi itaishia wapi...watoto bwana!!
 
kwa mawazo hayo mtatafuta sana kazi hadi sorry za viatu vyenu viishe.....!nilihiji mtajadili usomi wa mtu kumbe mmekaa kujadili vyuo.....!nimepita mi nizao la UCLAS....!sasa sijui nitakosa nini mi naona swala ni.
 
mkuu ENGINEERS na TECHNICIANS NI KADA MBILI TOFAUTI NA HIZO ZOTE ZINAPATIKANA DIT,kuna BACHELOR DEGREE (Beng)na ORDINARY DIPLOMA (OD)
mkubwa !kubali tu kwamba DIT inatoa watendaji!kuna vijana wa DIT wako nelson mandela university wanasoma ili wawe academicians.
 
Acheni mambo nyie! UDSM wako vizuri kwenye madaftari lakini kiutendaji ni---niii mlenda! DIT wako vizuri sana kwenye utendaji than UDSM! UDSM ukiwaambia 4X4 wanajua ni 16 lakini ukiwaambia jinsi 16 ilivyopatikana patachimbika ilan DIT watakuambia ni 16 na jinsi hiyo 16 ilivyopatikana! nimefanya field na watu wa degree wa UDSM kipindi mm nikiwa Diploma DIT at the same field lakini UDSM ikaonekana kama walikuwa mzigo sana! UDSM ni jina tu limewazidi ukubwa lakini wengi wao ni akina ACHIBA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom