Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usemi hu ni kweli waungwana
Usemi hu ni kweli waungwana
Usemi hu ni kweli waungwana
udsm wanatoa Bachelor of
Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni
designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana
kazi zao ni tofauti.
no.!
1.CoET
2.D.I.T
3.St.joseph
4.must
onyo: citaki malumbano
udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.
udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.
acha kutudhalilisha ma engineer wa DIT ww
sijakudhalilisha mkuu. mimi mwenyewe my huby ni engineer wa DIT. Ila huo ndio ukweli,just accept it.
lazima utofauti uwepo UDSM inatengeneza wasomi(academicians) wakati hawa wengine wanatengeneza watendaji(technicians).
NEED I SAY MORE?
kijana hii sikuhizi naona ndio signature yako heheh vizuri sana.
mkuu ENGINEERS na TECHNICIANS NI KADA MBILI TOFAUTI NA HIZO ZOTE ZINAPATIKANA DIT,kuna BACHELOR DEGREE (Beng)na ORDINARY DIPLOMA (OD)
mkubwa !kubali tu kwamba DIT inatoa watendaji!kuna vijana wa DIT wako nelson mandela university wanasoma ili wawe academicians.mkuu ENGINEERS na TECHNICIANS NI KADA MBILI TOFAUTI NA HIZO ZOTE ZINAPATIKANA DIT,kuna BACHELOR DEGREE (Beng)na ORDINARY DIPLOMA (OD)