Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da mwenye ADE,siyo BEng, uzuri mm ni BEng na ni Registered Prof Eng. Da kumbe bado kaka uko nyuma. Ni kweli wakati wa mfumo ule wa Advanced Diploma in Engineering watu wamesajiliwa GIE na siyo GE. Ila kumbe hata hivyo napoteza muda bure kumbe ni GE,nilifikir ni PE, lete ripoti ya SEAP nikugongee mihuri. Na ndo maana kumbe ni Engineer mwanafunzi, wew ni mgeni kwnye tasnia. Kawaulize hao ERB. Unamawazo ya karne ya ,19
Ungeuliza ungejibiwa tu. Kama PE mwenzangu, hongera na habari mhandis mwenzangu. ADE wote ni kweli walipewa GIE, wakati ule ADE inafutwa pale DIT ilitokea tafran, kwamba wale waliopo waunganishwe na BEng, kesi ilifika hadi mahakamani, na ADE walishindwa kesi kwa kuwa hawakusajiliwa kuchukua BEng. Hivyo wakaendelea kupewa hizo Incorporation Certificates. Ila BEng yeyote yule anapewa GE au PE na siyo GIE au PIE.Uzuri ni kuwa shule hizi tunajuana kushirikiana, vitabu tunashirikiana kati ya DIT, MUST, CoET na TCA, kwa hiyo huwez kunidanganya.
sisi wahandisi tunajua, COET ndo wanchukua watu wenye uwezo mkubwa kulikovyuo vyote, Vilaza wangu wengi waMESOMA DIT, MIST n.k. huwezi kuwalinganisha kwasabau hata ufahumu na uelewa wao wa uko tofauti.
DIT,MIST n.k= NI VETA walioboleshwa wanajua how na sio why.
kama huamini check cuf-off poit za coet na vyuo vingine utaona.
Kwa taarifa yako, Nyie member wa DIT na MUSt ndo mnakariri. Hamjui vitu vinatoka wapi maana, mmeruka stage ya advanced ambayo humwandaa mwanafunzi, Kuwa na REASONING, Engineering is all about designing na ndo maana Bachelor of science in Engineering inamuandaa mwanafunzi kuwa designer mzuri. Hata kwenye work watu wa Technical college wanawategemea watu wa Udsm na similar case kudesign..
Usemi hu ni kweli waungwana
kitendoo tu cha kuwa engineer kinanitofautisha na technician kwa sabab engineer ni knowledge based na technician ni competence based so may be tofauti ipo kwenye malengo ya kozi husika inatoa wahitimu wa aina gan