Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Sijui. Mi ni nani kuassess kingereza cha Fang?Hivi Kiingereza cha Fang kimenyooka kweli?
Kingereza changu mimi cha kujifunza ukubwani
Until I was 15 I could only say "I love you" . lol
na hata hapo pronounciation ilikua taabani bin hoi
Basi nikiona mtu anaandika kama Fang na wengine
kwangu naona wanajua. Atamfikisha angalau at that level.
Last edited by a moderator: