English club

English club

Hivi Kiingereza cha Fang kimenyooka kweli?
Sijui. Mi ni nani kuassess kingereza cha Fang?
Kingereza changu mimi cha kujifunza ukubwani
Until I was 15 I could only say "I love you" . lol
na hata hapo pronounciation ilikua taabani bin hoi
Basi nikiona mtu anaandika kama Fang na wengine
kwangu naona wanajua. Atamfikisha angalau at that level.
 
Last edited by a moderator:
Soma vitabu vya hadithi vya kiingereza kutokana na level yako kama vipi anza na vya primary,o-level na vingine.Tafuta vitabu vya grammer kama "English brighter grammer"," revision english" the list goes on.Sikiliza redio zinazotangaza in english say "bbc" hii itaongeza uwezo wako wa kusikia.Angalia movie/series with subtitle off.Tafuta marafiki wanaopenda kuongea kiingereza na ongea usiwe na aibu.penda kujifunza everyday learn something new.
 
Tafuta kitabu cha RAS SIMBA kinaitwa si UCHAWI, ametumia kiswahili kufundisha kiingereza, ni kitabu kizuri sijawahi kuona hasa kwa ambao kwao kiingereza ni shida kwelikweli. Mfano namna anavyofanya:

I'm going to Morogoro tomorrow
''Amu going'i tu Morogoro tumoro''
Kesho nitaenda/naenda Morogoro

Kwa hakika kitakusaidia, pia angalia unapenda muziki? tafuta nyimbo za kiingereza unazopenda kuzisikiliza, tafuta mashairi yake katika google, sikiliza wimbo na fuatisha maneno kwenye mashairi, kama unaupenda kweli huo wimbo utajuwa tu maneno yatakayokuwa yanakutatiza. Sikiliza Redio za kiingereza, choice fm, kiss fm, tbc international na hata bbc dar inashika, tafuta marafiki katika facebook wanaongea kiingereza tu na uchat nao mara nyingi.
 
Jiunge na duolingo.com, free language learning tool.Ziada, soma articles kwenye english newspapers, at least 1 article per day, isiwe ndefu sana lakini cha msingi uweze kuielewa hiyo article vizuri kiasi cha kuweza kuitafsiri.Chambua maneno manne katika hiyo article ambayo ni "magumu", angalia matumizi yake hapo na kwenye dictionary (nunua yenye kuonyesha matumuzi na sio tu tafsiri). Andika sentensi ukiyatumia hayo maneno.Idea ya club hapa JF pia ni nzuri, unaweza kuanzisha na kuwa'alika watu kukusaidia katika kujifunza hiyo lugha, mfano, andika short article/story na waombe watu kuichambua.All the best.

kotinkarwak's proposal is likely to work the best, I think.
 
Loweka Oxford dictionary kwa muda wa masaa 12 kisha kunywa juice inayotokana na huo mloweko.
 
Ingia Youtube kuna maclass ya kutosha ya kingereza....kuna jamaa mmoja anaitwa mrduncan....ukingia we andika learn english with mrduncan hapo nadhan utaenjoy mbaya.
 
Jiunge na duolingo.com, free language learning tool.
Ziada, soma articles kwenye english newspapers, at least 1 article per day, isiwe ndefu sana lakini cha msingi uweze kuielewa hiyo article vizuri kiasi cha kuweza kuitafsiri.
Chambua maneno manne katika hiyo article ambayo ni "magumu", angalia matumizi yake hapo na kwenye dictionary (nunua yenye kuonyesha matumuzi na sio tu tafsiri). Andika sentensi ukiyatumia hayo maneno.

Idea ya club hapa JF pia ni nzuri, unaweza kuanzisha na kuwa'alika watu kukusaidia katika kujifunza hiyo lugha, mfano, andika short article/story na waombe watu kuichambua.

All the best.

Tuko wengi jamani, ngoja niandike historia ya maisha yangu kwa kiingereza watu mnikosoe. Asante kwa ushauri kaka, ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom