Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #61
Nina mashaka sana na jibu lako. Ila asante kwa mchango wako anywayWangeandika TP bank wangepata tabu sana kueleweka na watu, maana hiyo TPB Bank ndio watu walikuwa wakiita hivyo, na wenyewe wakaamua kunata na biti hivyo hivyo. Wangefanya rebranding kujiita TP bank wangechanganya watu, wangedhani ni bank mpya
Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
Ninayo, ila sio kila anayetaka forex anayo National ID. Ukiweka hiyo condition unapunguza wateja wakati benki nyingine hazina hayo masharti.Sasa na ww kwann huna National ID mpaka leo kwan ni shilling ngap kupata national ID!?
Hivi kwa mtanzania averaga tu, ambaye kazoea kusema Naenda benki ya TPB (hapo naye keshatumia neno bank mara mbili bila kujua)Nina mashaka sana na jibu lako. Ila asante kwa mchango wako anyway
Mbona ilitoka Buzz mpaka Tigo? Mbona ilitoka Zain mpaka Airtel? Why banking industry tunasingizia "jina lililozoeleka na wateja?TPB sababu ya brand kubwa (jina lililozoeleka na wateja)
Kwenye logo ya NMB hakuna neno Bank kwa mbelewamehamua kubaki na jina ambalo ni brand yao kibiashara ambayo ni NMB na kuongeza neno benki mbele
Bado Tunakusikilizia wewe tuKwa hiyo mmeamuaje?
Wasomi wanatuangusha sana mkuuHawa ndio wasomi uchwara,Taifa linaangamia
NMB ipo pekee ina maana wao hawahofii inaweza ikamaanisha chochote??TPB pekee inaweza maanisha chochote
Kwenye Logo ya Diamond Trust Bank neno DTB lipo pekee. Hakuna neno Bank lililowekwa mwishoVifupipisho vinaweza maanisha chochote, ili kutilia mkazo kwenye unachotaka kumaanisha ukiwa unatumia kifupisho neno Bank ni muhimu kuliweka mwisho
Unajua hizo search results zinatoka wapi?Soma hiyo picha hapo chini nilipo fanya highlight
View attachment 1171516
tadb.co.tz (Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)Unatupa page titles za blog posts proving what exactly?