Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
We umeleta swali vizuri tu wadau wamekujibu lakini bado unabisha ikiimaanisha kwamba hukutaka uelewe bali ubishane. Chukulia mfano mdogo tu watu wanaposema reli ya TAZARA (Tanzania and Zambia Railway) au kampuni ya ulinzi ya SGA(Security Group of Africa) ukisema utoe tafsiri ya moja kwa moja basi tunakosea lakini ili ueleweke kwa watu wengi lazima utoe jina(brand name) ambalo ndio utambulisho wenyewe yaani ukiharibu hapo unapoteza soko.Sawa boss nitaliweka
Na hizi brand name mara nyingi wateja ndio huzianzisha, sasa watu wanajua kwamba hio ni TPB leo hii wakute pameandikwa TP Bank lazima wapotee, au basi tuwe tunasema reli ya TAZA badala ya TAZARA, au kampuni ya ulinzi ya G4 badala ya G4S na mengine mengi tu.
CRD Bank, KC Bank, NM Bank ..