Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Cc @Kiranga
Bank inayotangaza rasmi kwamba haistand for anything inatisha kuipa hela zako.
Maana yake haistand hata kwenye kukutunzia hela yako!
Sorry kwa kukuharibia uzi wakoSawa boss umeshinda wewe. Mjinga mimi
Kuwaelewa si vigumu.Hahahaaaa daaah kaazi kweli kweli.
Anyway, sawa bana.
Mimi nimewaelewa.
Two wrongs do not make a right.
Kuwaelewa si vigumu.
Walitaka kutumia branding iliyowekwa na Tanzania Postal Bank, wakati wao si Tanzania Postal Bank. Wangeweza kujiita "New Tanzania Postal Bank" au jina tofauti kabisa"...
Two wrongs do not make a right.
Halafu hapo si jina la institutions, sijajua muktadha wa matumizi ya neno "networks". Inawezekana wanaongelea affiliated networks.
Or is there an institution branded as "ESPN Networks" ?
Labda kwetu huko, hili ni swali la kwanza kabisa katika kuijua benki.Kusema ukweli sidhani kama watu huwa wanajali kuuliza hiyo TPB kirefu chake ni nini.
Na hata wakijitokeza wataouliza kirefu chake ni nini, nadhani jibu la kwamba hiyo TPB haina kirefu chake, ni jibu tosha kabisa.
Siyo lazima TPB iwe na kirefu!
Kutumia jina la benki kuweka herufi zisizomaanisha kitu ni kuonesha kwamba uongozi wa benki haujui uchumi wa kutumia jina, haujui branding, haujui clear communications etc.
Nimeeleza hapo juu, swali moja la kwanza kabisa watakaoulizwa ni "What does TPB stand for?"
Wakijibu "it does not stand for anything" hapo hapo wanaonekana wanacheza.
It seems that there is a larger trend in this, na watu wa TPB Bank wanaweza kuwa wameiga huo ujinga kutoka nje.ESPN ya sasa ni ESPN tu.
Ila ya zamani ndo kirefu chake kilikuwa Entertainment and Sports Programming Network.
Baada ya rebranding, sasa inajulikana kama ESPN Inc.
Labda kwetu huko, hili ni swali la kwanza kabisa katika kuijua benki.
Ama sivyo unaweza kuweka hela zako katika "Benki ya Kikamata na Kufunga Watanzania Wote" kwa sababu hujauliza jina la benki linasimamia nini?
Mpaka hapo kwa watu wanaopenda clear answers ushapoteza points, unaonekana kama tapeli tapeli hivi unataka kuwaingiza watu mjini.Technically utajibu eg Tpb stands for nothing kweli? Mbona ni swali rahisi tu kueleza kuwa kabla ilianza kama Postal bank then baada ya muda imekuwa reformed kuja kwny Tpb bank hivo kwa sasa Tpb ni atomic name which stands as a brand name.
It seems that there is a larger trend in this, na watu wa TPB Bank wanaweza kuwa wameiga huo ujinga kutoka nje.
Kuna shortcuts watu wanafanya kwa sababu ya branding.
Lakini, ukweli kwamba ujinga umeanza nje, haufanyi ujinga huo uwe ujanja.
Benki kama hii haikawii kukutungia accounting principles mpya zitakazofanya kila shilingi yako uliyoweka kwao baada ya mwaka iwe senti hamsini.Hahahaaa.
Mimi mbona sioni tatizo lolote hapo.
Ni mambo tu ya kibiashara na utambulisho hayo.
Hahaha achana nao, labda ungewapa ya uganda wangekubali, maana nayo ni national ID.Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
Benki kama hii haikawii kukutungia accounting principles mpya zitakazofanya kila shilingi yako uliyoweka kwao baada ya mwaka iwe senti hamsini.
Wanaweza kukuambia "tume i rebrand one shilling iwe fifty cents"!
Kutoka "Dodge RAM" kwend RAM hakuna unnecessary duplication.Haya mambo kwenye biashara ni mambo ya kawaida sana. Hata Dodge Ram siku hizi ni RAM tu.
View attachment 1172387