MandawaNaManenge
Member
- Jan 27, 2012
- 80
- 70
Hivi we kilaza wanaijeria wapo juu sana kwenye movies
Sasa wanachoongea unaweza kusemaje?
Kwanini mnakua watumwa wa lugha, hivi akina sean paul na wajamaika wanaimba nini kwenye nyimbo zao
Kila mtu anaathiriwa na lugha mama kutamka kiingereza
Ni upumbavu wa kupindukia kudhani kiingereZa cha kijamaika au kihimdi au kinaijeria au kiarabu ndio sahihi ila kiingereza kilicho athiriwa na lugha yako mama ndio upuuzi.......open up guyz.
Kama humpendi lina hilo ni tatizo lako binafsi wala sitakushangaa
Lakini mwenzako kibongo bongo mambo yake yanamnyookea na anapata show za kutosha tu kwasababu ya wimbo na video ile
Watu mmekaa kuponda wanamuZiki tu je wewe mwalimu au mchumi unaweza kutuambia umekuja na ubunifu gani kuendeleza nchi hii
Nyambafu........ Wote tunaogelea at the same boti
Mpumbavu na Nyambafu ni wewe mwenyewe.
As for u-kilaza, pole yako maana hunijui na sikujui.
Ukiandika bila kutukana hueleweki?
Attitude mboovu na kutotaka kuambiwa ukweli.
Utajijua kwa kweli ndo nishasema hivyooooo.
Mtumwa wa lugha ni wewe na yeye mnaotetea makosa under pretext ya kulinganisha kiJamaica sijui na kinini.
Sijui hata darasani ulikuwa unapata nini na ngapi! eti namchukia Linah..kwa lipi?
Ebu nitokee hapa