English mbovu ya Linah inatia Aibu

English mbovu ya Linah inatia Aibu

Hivi we kilaza wanaijeria wapo juu sana kwenye movies
Sasa wanachoongea unaweza kusemaje?

Kwanini mnakua watumwa wa lugha, hivi akina sean paul na wajamaika wanaimba nini kwenye nyimbo zao

Kila mtu anaathiriwa na lugha mama kutamka kiingereza

Ni upumbavu wa kupindukia kudhani kiingereZa cha kijamaika au kihimdi au kinaijeria au kiarabu ndio sahihi ila kiingereza kilicho athiriwa na lugha yako mama ndio upuuzi.......open up guyz.

Kama humpendi lina hilo ni tatizo lako binafsi wala sitakushangaa
Lakini mwenzako kibongo bongo mambo yake yanamnyookea na anapata show za kutosha tu kwasababu ya wimbo na video ile

Watu mmekaa kuponda wanamuZiki tu je wewe mwalimu au mchumi unaweza kutuambia umekuja na ubunifu gani kuendeleza nchi hii
Nyambafu........ Wote tunaogelea at the same boti

Mpumbavu na Nyambafu ni wewe mwenyewe.
As for u-kilaza, pole yako maana hunijui na sikujui.

Ukiandika bila kutukana hueleweki?
Attitude mboovu na kutotaka kuambiwa ukweli.
Utajijua kwa kweli ndo nishasema hivyooooo.

Mtumwa wa lugha ni wewe na yeye mnaotetea makosa under pretext ya kulinganisha kiJamaica sijui na kinini.
Sijui hata darasani ulikuwa unapata nini na ngapi! eti namchukia Linah..kwa lipi?
Ebu nitokee hapa
 
Lugha ngumu hii!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kingereza kigumu jamani sijui kwanini watu hawapendi kuongea lugha yao ya taifa
 
Wema Sepetu aka Madame aka Mrs domo..!

Kakojoe ulale mama.....naona unabahatisha
I like wema sijawahi kumsema vibaya, ila kumpenda sio sababu ya kuacha kumsema
akifanya madudu namsema tu, nasifia panapostahili kusifiwa
mfano komando jide like like mingi kwake pamoja na mwasiti
una lingine?
 
Ni mpumbavu pekee anayedhania kuandika broken english ni ujinga
Alicho andika lina hakuna mtu anayejua kiingereza asijue anamaanisha nini

Kama mtafiti kidogo jaribu kutembelea fb page, tweeter na insta za wasanii wakubwa duniani ambo hawatoki nchi zinaongea kiingereza uone wanavyo chapia, but all in all ujumbe ufike

kwanza english sio first language yetu pia anajitahidi sana kwani alichoandika kinaeleweka. Nendeni China huko au Germany na Spain watu zaidi ya 70% hawajui kiingereza na wanaishi kwa kugha zao za asili
 
Kakojoe ulale mama.....naona unabahatisha
I like wema sijawahi kumsema vibaya, ila kumpenda sio sababu ya kuacha kumsema
akifanya madudu namsema tu, nasifia panapostahili kusifiwa
mfano komando jide like like mingi kwake pamoja na mwasiti
una lingine?

Na ww jamba ukanye
.! Mtu hakujui hata ukimsema aimshughulishi , ww una mabaya mangapi unayafanya auambiwi? Kwa hiyi roho yako angalia ukizeeka utakuja kuwa mchawi..! Mwasiti na Linah nani anaimba vizuri? Ndio maana wanawake awaendelei sababu ya ma AJUZA kama ww..!
 
Linah ni Msanii mkubwa tu wa Tanzania..Ila hii Description aliyoweka Youtube sio Nzuri!

Hapo kwenye RED english mbovu ,na sikudhani kama kulikUwa na maana wa kuiweka South Africa .
nadhani Anaitangaza South Africa zaidi na GODFATHER
attachment.php


Kosa pekee ninaloliona hapo ni kutumia neno 'shoot' badala ya 'shot'. Otherwise kwa simple English inaeleweka.
 
Na ww jamba ukanye
.! Mtu hakujui hata ukimsema aimshughulishi , ww una mabaya mangapi unayafanya auambiwi? Kwa hiyi roho yako angalia ukizeeka utakuja kuwa mchawi..! Mwasiti na Linah nani anaimba vizuri? Ndio maana wanawake awaendelei sababu ya ma AJUZA kama ww..!

Lina hajui muziki kazi yake ni kufanya remix za kiboya boya
Mfano ni remix ya Oliver Twist aliyoiita lina twist nlimuona kama taahira fulani
mwasiti mziki anaujua na anaimba vizuri
hapa ni maceleb tu, mi ntasemwa mtaani....
wewe endelea kudandia gari kwa mbele ndo nshaandika hivooooo
 
Ana wivu sana hyo nishamgundua hana jema ma msanii yoyote wa kike nimefwatilia koment zake zote ypo hivyohivyo

Niwe na wema na wasanii mie ni producer?
gud endelea kufatilia comments.....
 
Aiseeeee!!!! Banza stone aliimba "elimu ya mjinga ni majungu" ......
 
Hata kiswahili tunakikosea sana ajabu hatuchekani wala kushangaa sasa kosea kiingereza!!Akili zimehama kwenda makalioni na na kinyesi kimejaaa kichwani....
 
Linapokuja swala la kusema hatuna identity ni dhahiri kabisa hatuna lakini kwangu mimi ni BORA KUTOKUA NAYO katka nchi yenye makabila zaid ya 128 unataka IDENTITY ya nini kama sio kutengeneza UKABILA nana theory ya kua ma identity ya kiutamaduni lazma ichaguliwe kutoka kwnye KABILA KUBWA. Over...!!
Nikija kwny english ata angeongea kingereza kibov vipi the fact itabak its hard to master grammar and tenses of second language...!! Pia mbona ata wazungu hawakijui pia kingereza nenda EASTERN PART OF LONDON watu wanashindwa ata kutofautisha W na V wenger inakua VENGER. Bt pia kuna wachezaj mpira wakubwa kwao kingereza kigum zaid ya muarobaini.
Tatizo ni kupenda misifa tu kingereza kingereza huo ndo unaitwa UTUMWA WA KIFIKRA.
Lugha sio yetu lakin FULL MISHOBO.........!!!!
 
Back
Top Bottom