mhemeavisogo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 343
- 195
Hata kiswahili tunakikosea sana ajabu hatuchekani wala kushangaa sasa kosea kiingereza!!Akili zimehama kwenda makalioni na na kinyesi kimejaaa kichwani....
Finally Drops?? Umemuelewa??
Bibie only the fittest will survive.Mziki hajui analazimisha fani nasisitiza.....
wanawake bana ndo zenu hakuna hata siku moja mkasifiana
Evelyn Salt yuko sahihi kabisa lina wala sio mkali hata kidogo,Sema tu bahati iko upande wake.Lkn kimuziki hata kwenye top twenty ya wanamuziki wakike wakali hawezi kuwepo.
wanawake bana ndo zenu hakuna hata siku moja mkasifiana
Hujui usemalo unajua Kuna namna nyingi za kumkubali mtu,na sababu za kumkubali au kutomkubali zikatofautiana kwa mtu mmoja na mwingineBahati? You must be kidding unless u dont know what ur talking
Bahati ndio dude gani haswa?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenena vyema kuwa ni mtazamo wakoHujui usemalo unajua Kuna namna nyingi za kumkubali mtu,na sababu za kumkubali au kutomkubali zikatofautiana kwa mtu mmoja na mwingine
we najua kwa lina umedata na mapaja tu huna lolote.
Mi naangalia utendaji wa kazi nasisitiza lina hana uwezo mkubwa kimuziki in short ni wa kawaida sana na huo ndo mtazamo wangu hata ubimbilike hunibadilishi ng'o.
I'M OUT
Na aandike kingereza ili iweje?Ajue kiingereza ili iweje?
Umenena vyema kuwa ni mtazamo wako
Keep it in ur mind mtazamo wako hauwezi kubadili ukweli
Kama Linda anajua wanao mkubali wanataka nini na wanamuweka juu hadi wewe ukaita "bahati" why should bother na watu ambao hamuweki juu?
Sasa kama hao wengi wanao mkubali we unawaona hawaangalii uwezo then u have a problem
Narudia tena to be good musician ni kuridhisha mashabiki wako na si haters wako......hiki ndio anafanya lina na nakuhkikishi song hili mnadai kaiba litampa tuzo, nenda club uone livyorusha watu, shows za kumwaga
We piga jungu tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jungu unalijua unalisikia? Idea sio tatizo kufanya remix sio tatizoBibie only the fittest will survive.
Mwanamuziki ili ale anatakiwa kulenga wanachohitaji wapenzi wake, kama wewe unaona analazimisha its ok ni mtazamo wako binafsi lakini mwenzako ana hit, anapata shows za kutosha plus tuZo na mkwanja
Kibongo bongo unahitaji nini tena
We piga jungu mwenzako anazidi kupepea
Nitajie mwanamuziki mkubwa wa kimataifa ambaye haja daiwa kuiba idea ya wimbo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Video ni nzuri very good directing skills i didnt know that video was shoot in south africa! we are going far keep it up linah sanga.
Mwala nani wewe au yeye na washabiki wake wanaomkubali anachifanya?Jungu unalijua unalisikia? Idea sio tatizo kufanya remix sio tatizo
hata komando jide kishafanya remix mbona kama muhogo wa jang'ombe na siwema
ila huyu mwala yeye album nzima anafanya remix tu sasa huyu ni mwanamziki au ni mfanya remix?
Nishasema huo mi mtazamo wng na hauwezi kubadilika,sasa usinilazimishe unavotaka wewe na Mimi nifuate never.Hayo ya majungu yanakujaje?Kaa mbali na Mimi wewe tena shika adabu yako.Na km nimekukera lamba ndimu usitapike!!!!!....
Mwala nani wewe au yeye na washabiki wake wanaomkubali anachifanya?
We kalia kulia lia hapa jf mwenzio anakamu stajeni na kumeki mkwanja kwa hizo "remix"
Creativity we umefanya ngapi bana iwe kazini au kwa mmeo
Only the fittest will survive kama nabuni sitoki why bother kama niki remix natoka
Uanzungumzia ubunifu bongo ebooo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli hawa wamedata na mapajaEvelyn Salt yuko sahihi kabisa lina wala sio mkali hata kidogo,Sema tu bahati iko upande wake.Lkn kimuziki hata kwenye top twenty ya wanamuziki wakike wakali hawezi kuwepo.
Hapa tunaongelea maceleb mie niweke pembeni make hata ndani ya nyumba yetu sio celebrity
ongea kuhusu lina sio evelyn salt
huwezi kakojoe ulale....
nini kuingiza hela hata omba omba mwenyewe anaingiza hela