Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndo jinyonge sasa kwa "bahati" ya mwenzako maana unacholialia hapa hakimuongezei wala kumpunguzia, yake yanamnyookea na "umwala" wake
Kalaghabaho
Sent from my iPhone using JamiiForums
Linah hajui muziki nasisitiza....
kama ndo wewe pole dada linah
Kama ni remix zishakutoa sasa jaribu na kutunga....Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
Wala dua za kuku hazimpati mwewe
Keep saying that will change nothing my dear
Umia tu kimya kimya mwezako ana run the game
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni remix zishakutoa sasa jaribu na kutunga....
Lina ni form 4 Leaver!!!! Huenda haku fanya juhudi zaku jifunza kimombo... so ata endelea kuongea broken na kuandika broken tu!!!! Ndio wale wale wakina jack cliff... "you no is come is going is good competitions here in Tanzania " Jack cliff huyo kwenye red carpet cjui hata ilikua ya show gani ile
Tuanze na wewe je kiswahili ulichoandika hapo juu ni fasaha
Tafakari chukua hatua
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha kama ume panic hivi. We mwenyewe hata sentensi hujui kuandika, hujui wapi pana faa kuweka alama ya kuuliza, wapi una takiwa uweke kituo kikuu na koma. Manake naona una type tu. Angalia comments zako zirekebishe hujui kuandika sentensi kijana!!!!
Mazafantass!!Mitazamo dhaifu?kwako cjaona hoja ya msingi hata moja itakayo nishawishi,si kosa lako unafikiri kwa kutumia dushe si akili,poor u!!!Limekuingia
Tulia unyolewe ukija na mitazamo yako dhaifu unapewa za uso tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naam sasa umenielewa
Kama mimi na wewe tunaandika broken kiswahili cha asili yetu kwanini ushangae Lina kuandika broken inglishi?
Huu utumwa wa lugha mbaya sana
Usishangae Pengine Lina anamshinda waziri au rais wa china kiinglishi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mazafantass!!Mitazamo dhaifu?kwako cjaona hoja ya msingi hata moja itakayo nishawishi,si kosa lako unafikiri kwa kutumia dushe si akili,poor u!!!
Ni English sio Ingilishi
Umekubali eeeh!!!basi sawaNikiri tu kwa matusi sikuwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yupo bize kusaka mahela kwa "remix" wanazopenda mashabiki wake wanao muweka juu
Why bother "kutunga" kwaajili ya haters wachache kama Evelyn Salt ?
Sent from my iPhone using JamiiForums