English mbovu ya Linah inatia Aibu

English mbovu ya Linah inatia Aibu

Ndo jinyonge sasa kwa "bahati" ya mwenzako maana unacholialia hapa hakimuongezei wala kumpunguzia, yake yanamnyookea na "umwala" wake
Kalaghabaho

Sent from my iPhone using JamiiForums

Linah hajui muziki nasisitiza....
kama ndo wewe pole dada linah
 
Linah hajui muziki nasisitiza....
kama ndo wewe pole dada linah

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
Wala dua za kuku hazimpati mwewe

Keep saying that will change nothing my dear
Umia tu kimya kimya mwezako ana run the game

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lina ni form 4 Leaver!!!! Huenda haku fanya juhudi zaku jifunza kimombo... so ata endelea kuongea broken na kuandika broken tu!!!! Ndio wale wale wakina jack cliff... "you no is come is going is good competitions here in Tanzania " Jack cliff huyo kwenye red carpet cjui hata ilikua ya show gani ile
 
Kama ni remix zishakutoa sasa jaribu na kutunga....
 
Kama ni remix zishakutoa sasa jaribu na kutunga....

Yupo bize kusaka mahela kwa "remix" wanazopenda mashabiki wake wanao muweka juu
Why bother "kutunga" kwaajili ya haters wachache kama Evelyn Salt ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mngekuwa mnamzodoa mtu anayekosea kiswahili ningewaona wa maana. Utumwa wa kifikra si mzuri
 
Lina ni form 4 Leaver!!!! Huenda haku fanya juhudi zaku jifunza kimombo... so ata endelea kuongea broken na kuandika broken tu!!!! Ndio wale wale wakina jack cliff... "you no is come is going is good competitions here in Tanzania " Jack cliff huyo kwenye red carpet cjui hata ilikua ya show gani ile

Tuanze na wewe je kiswahili ulichoandika hapo juu ni fasaha
Tafakari chukua hatua

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuanze na wewe je kiswahili ulichoandika hapo juu ni fasaha
Tafakari chukua hatua

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahahaha kama ume panic hivi. We mwenyewe hata sentensi hujui kuandika, hujui wapi pana faa kuweka alama ya kuuliza, wapi una takiwa uweke kituo kikuu na koma. Manake naona una type tu. Angalia comments zako zirekebishe hujui kuandika sentensi kijana!!!!
 
Naam sasa umenielewa
Kama mimi na wewe tunaandika broken kiswahili cha asili yetu kwanini ushangae Lina kuandika broken inglishi?

Huu utumwa wa lugha mbaya sana
Usishangae Pengine Lina anamshinda waziri au rais wa china kiinglishi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Limekuingia
Tulia unyolewe ukija na mitazamo yako dhaifu unapewa za uso tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mazafantass!!Mitazamo dhaifu?kwako cjaona hoja ya msingi hata moja itakayo nishawishi,si kosa lako unafikiri kwa kutumia dushe si akili,poor u!!!
 
Naam sasa umenielewa
Kama mimi na wewe tunaandika broken kiswahili cha asili yetu kwanini ushangae Lina kuandika broken inglishi?

Huu utumwa wa lugha mbaya sana
Usishangae Pengine Lina anamshinda waziri au rais wa china kiinglishi

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ni English sio Ingilishi
 
hivyo hiyo bana

tumeelewa hata ivo

btw:.....napenda wimbo wake wa 'ole themba'

sauti yake pia ni nzuri
 
Yupo bize kusaka mahela kwa "remix" wanazopenda mashabiki wake wanao muweka juu
Why bother "kutunga" kwaajili ya haters wachache kama Evelyn Salt ?

Sent from my iPhone using JamiiForums

endelea kumtetea muhehe mwenzio anaejua mziki ni kuedit nyimbo za watu tu....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom