Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
lakini chelsea hiyo ilikuwa kila ikikutana na arsenal inalala,ikishinda draw,ila ferrer hakuwepo.Ahh Chelsea hii inanikumbusha ile Chelsea ya akina Flo, Petrescu, Vialli, Zola, Di Matteo, Ferrer na wengineo..yaani inaweka mpira chini na kutandaza gonga na kutungua watu bao nyingi..
HT 4-0 Ubingwa by April 2011.
lakini chelsea hiyo ilikuwa kila ikikutana na arsenal inalala,ikishinda draw,ila ferrer hakuwepo.
Hoja ni kwamba Chelsea ya sasa inashinda beautifully, tena goli nyingi, sio kama ile ya Mourinho, classless.lakini chelsea hiyo ilikuwa kila ikikutana na arsenal inalala,ikishinda draw,ila ferrer hakuwepo.
lol haya yetu :glasses-nerdy: tuone nani ata:becky: mwisho wa ligiHoja ni kwamba Chelsea ya sasa inashinda beautifully, tena goli nyingi, sio kama ile ya Mourinho, classless.
:confused2:Yeah! kama mwaka jana Arsenal walishinda mechi zote na Chelsea!
Naona kila timu ina defensive midfielder 3, hovyo kweli.HAhahah hii mechi ni kama serie A, Milan na AC milan!
Naona kila timu ina defensive midfielder 3, hovyo kweli.
Wanajaza midfielder 5 na bado 3 wanadefend upuuzi mtupu...aaaah, hivyo kivipi bana. Au unataka wafungwe almuradi chenga twawala?
Ndivyo walivyo hao, hujawazoea tu.