English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Everton-v-Newcastle-Tim-Howard-woe_2504629.jpg


Dejection for Tim Howard as Everton crash on home soil.
 
Ahh Chelsea hii inanikumbusha ile Chelsea ya akina Flo, Petrescu, Vialli, Zola, Di Matteo, Ferrer na wengineo..yaani inaweka mpira chini na kutandaza gonga na kutungua watu bao nyingi..

HT 4-0 Ubingwa by April 2011.
lakini chelsea hiyo ilikuwa kila ikikutana na arsenal inalala,ikishinda draw,ila ferrer hakuwepo.
 
lakini chelsea hiyo ilikuwa kila ikikutana na arsenal inalala,ikishinda draw,ila ferrer hakuwepo.
Hoja ni kwamba Chelsea ya sasa inashinda beautifully, tena goli nyingi, sio kama ile ya Mourinho, classless.
 
Man City vs Chelsea tayari kwa Matchday ya leo..Updates kama kawa
 
...aaaah, hivyo kivipi bana. Au unataka wafungwe almuradi chenga twawala?
Ndivyo walivyo hao, hujawazoea tu.
Wanajaza midfielder 5 na bado 3 wanadefend upuuzi mtupu
 
Essien anaangua nazi tu leo..Drogba anonymous figure
 
Chelsea naona wanajaribu kumpresharaiz yule dogo Boyata
 
Back
Top Bottom