Nduguzanguni, wapenzi wa kabumbu..
Karibu katika ukumbi wenu muupendao ikiwa leo tarehe 15 mwezi wa nane, mwaka 2010, ni siku ile ambapo twakata utepe wa hiki kinyang'anyiro cha ligi bora zaidi kwenye sayari hii kama sio kwenye galaxi tuliyomo.
Basi wale wapenzi wenye mahaba na thread za vilabu sio mbaya mkichangia na huku, wajameni!!
Ratiba ya leo ni kama ifuatavyo:
Mchungaji dunia inaenda kasi sana, wakati mwingine akili inajiandaa kabla ya siku yenyewe!.Nadhani ulikuwa unaimanisha tarehe 14 mwezi wa nane! hiyo 15 ni kesho na wengine hatujui kama tutaiona
Kiongozi, enjoy while it lasts.Chelsea 6 - 0 West Brom a goal by Malouda!
Droo hii..lakini huenda ikaamuliwa mwishoni.mzee wa ac milan asante kwa jukwaa.utabiri wako unasemaje leo?
tunashinda hii mkuu lol hamna draw hapa.Droo hii..lakini huenda ikaamuliwa mwishoni.
MODS ikiisha hii mtaangalia muiunganishe kwenye thread za vilabu au ile ya EPL 2010/2011.
Tupo few seconds b4 mtanange kuanza..
Jitahidini ..tunashinda hii mkuu lol hamna draw hapa.