Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Nduguzanguni, wapenzi wa kabumbu..
Karibu katika ukumbi wenu muupendao ikiwa leo tarehe 15 mwezi wa nane, mwaka 2010, ni siku ile ambapo twakata utepe wa hiki kinyang'anyiro cha ligi bora zaidi kwenye sayari hii kama sio kwenye galaxi tuliyomo.
Basi wale wapenzi wenye mahaba na thread za vilabu sio mbaya mkichangia na huku, wajameni!!
Ratiba ya leo ni kama ifuatavyo:
Nadhani ulikuwa unaimanisha tarehe 14 mwezi wa nane! hiyo 15 ni kesho na wengine hatujui kama tutaiona