English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

a very sad goa from a goalkeeper, sijui ni own goal?
 
...mateso matupu.
Sijui nichukue likizo kushabikia team hii?
Najiharibia tu swaumu yangu, halafu nikifikiria nijinyime furaha mpaka May mwakani?!
aaarrgghh...
 
Game over gooners wamechomoka kwenye tundu la sindano mkajipange vyema kwa next game..
 
...mateso matupu.
Sijui nichukue likizo kushabikia team hii?
Najiharibia tu swaumu yangu, halafu nikifikiria nijinyime furaha mpaka May mwakani?!
aaarrgghh...

Chukua hatua karibu Darajani! masharti na vigezo kuzingatiwa
 
safari yetu ndefu sana ni draw kwa vile tumecheza na liverpool ingekuwa timu nyingine tungepigwa 5 leo.
 
Back
Top Bottom