English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Angalau unajionyesha ni mtu wa aina gani na tabia ipi!
yani baada ya post elfu tano ulikua hujajua tu??? ohhhh give me a break, in teh nineties we use to say "ooohhh have a kit-kat"

Pole sana
 
for all these months i thought you were a good football analyst, now i am taking that back....

with a new manager, over 50% player out to the world cup, what did you expect in the first half? lord or lord AW, of all the people wewe??

sawa bana, i apologize
mkuu mmeshindwa kuchukua advantage ya beki yetu mbovu hamna excuses ya kutoshinda mechi hii.
 
mkuu mmeshindwa kuchukua advantage ya beki yetu mbovu hamna excuses ya kutoshinda mechi hii.
that is not true, arsenal is a team, so your starting line up represent arsenal, i wont say that especially that you are primed to be one of the contenders, what you have said now is really low....

would that defense be for all 38 matches? we only value the team as a whole, ni kama kusema nimekushangaa leo umemkosa mke wangu wakati kalewa, your wife is your wife, period

dont go low bro,

i love you bro
 
...dah, hata mimi nimeshangaa. Lakini kwa jinsi ninavyomuelewa huyu bro...naamini kateleza tu.
Mwenzetu sana, labda 'kachangamka' na mambo ya ukanda wa Chadibwa Beach.
Msamehe Mkuu.

dont worry mbu, there was a message in it, and you have all missed it, sorry if i caused any pain... if you read his post, it says we have won while we didnt and such post are mickey, so the best way to handle it is to mickey it too. to me i'd say we're robbed
 
dont worry mbu, there was a message in it, and you have all missed it, sorry if i caused any pain

...ha ha ha,
haina noma bro.

...pheewww!, 37 games to go...
safari hii either Liverpool au Arsenal lazima mmoja wapo atwae EPL!
 
what was the line up in those two matches, if i may know?

kwa style hio mkuu hata mimi naweza kutumia sababu ya line up ya leo nikaanza kuwaangalia wakina fabregas,song au walcot ,van persie na rosicky kuanza bench sema siwezi kutumia kigezo hicho kwa vile najua kikosi kilichokuwepo uwanjani ndio kinawakilisha Arsenal hamna sababu ya sijui nani hakuwepo.
 
...ha ha ha,
haina noma bro.

...pheewww!, 37 games to go...
safari hii either Liverpool au Arsenal lazima mmoja wapo atwae EPL!

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kombe ni la scums, manure or the kops
 
Baada ya blah blah za wikiendi, ligi inaanza leo...
 
Back
Top Bottom