Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Arshavin kajitahidi sana leo alikuwa kaanza kunikatisha tamaa,jamaa kawa mvivu ghafla na tofauti na alivyo kuja nadhani tatizo ni Wenger.Arshavin alikuwa ngangali sana alivyokuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samba ni forward sasa lol.
Fat Sam huyo anachekesha sana
Arsenal mara ya mwisho kushinda away ilikuwa march?
mkuu unapenda kutafuta record zako za ajabu lol.sasa march si end of season karibia au unataka kufanya hionekane loong time lol.
Mkuu nadhani ni mvua., uwanja unateleza.duuuh hivi vitoto kweli vinajua kupoteza nafasi.
Hizi bange za kuvutia c.hooni au ni nini?Ndio hilo jina tunalolitaka.... We ulitaka abaki nini? Mbona wapinzani mna chokochoko sanaa! Na mtatukoma kipindi hii si ni kugonga tu hadi mtukome nyie msotueshimu... Sita sita kwenda front... Shaa...
Umeota au ni kweli mbona mimi naona Chelsea anaongoza goli 1 au hii tv inanidanganyaHalf time 1-0 Chelsea