English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

Oooops! Nearly fourth on both ends...anyway game over! 3-3
 
Hakyanani halafu sijui aje mtu aseme La liga ni ligi bora zaidi kwene sayari hii? Nakamtalia hata anipe milioni 100
 
hahaaaaaaaaaaaaaa.... refa kabeba leo, huhuhuuuu, naona kapigakipyenga wakati wa last shot!!!
 
Man U kwa mechi ya pili mfululizo wana choke the lead within last 5 minutes..Je enzi ile ya Man U kufunga magoli ya dk za majeruhi ndio imeisha?
 
Hakyanani halafu sijui aje mtu aseme La liga ni ligi bora zaidi kwene sayari hii? Nakamtalia hata anipe milioni 100

hile thread wala sikuputeza mda wangu hata kuifungua acha kuchangia.eti la liga ni bora kuliko EPL kadata yule jamaa.
 
HAhahahahaah

Van der Sar! Neville, Giggs, Scholes mmmhhh heri REV Masa ananguvu za kukimbia dak 180
Mchungaji Umri sio tatizo kwa hao wachezaji nafikiri umeona viwango vya hao wachezaji so far kwenye Premier League Van de Sar yuko juu hata leo umemuona alivyosave,Nafikiri umeona Scholes ile freekick na pasi aliyompa Berbatov
 
Back
Top Bottom