English Premiership: 2010-2011

English Premiership: 2010-2011

De Jong naona keshamvunja mguu Ben Arfa..hiki kijamaa kiguruwe kweli.
 
Last week Tevez alisema kweli, huwa wanazikamia timu kubwa "big 4" lakini wanazembea wanapocheza na timu ndogo. Wasipokaa sawa wanaweza duwazwa!!!
 
Refa kala hela ya waarabu huyu, anafuta penati ya Newcastle hivihivi
 
City wanakuja kuwashika top 4..

it ended 2-1
 
lol, penati kuelekea Liverpool..hawa ndio wanafulia kabisakabisa..
 
Chelsea: Cech, Ivanovic, Alex, Terry, Cole, Mikel, Essien, Ramires, Malouda, Anelka, Drogba
 
Duh, mpaka Blackpool wanawachezeshea gonga..ha ha ha
 
Back
Top Bottom