Kilewa Son
Member
- Feb 8, 2013
- 56
- 7
Eti ukitaka kumuuliza baba yako ww ni mtt wa ngapi kuzaliwa kwa kingereza, utamuulizaje..,!? atakaepata mh....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu imejadiliwa Sana humu.
Hebu tafsiri kwanza hii tujue pa kuanzia kukupa huo msaada: "Rais aliyepita alikuwa ni wa awamu ya ngapi?" kwa kiswahili...Eti ukitaka kumuuliza baba yako ww ni mtt wa ngapi kuzaliwa kwa kingereza, utamuulizaje..,!? atakaepata mh....!!
Hebu tafsiri kwanza hii tujue pa kuanzia kukupa huo msaada: "Rais aliyepita alikuwa ni wa awamu ya ngapi?" kwa kiswahili...
Dady im number what in the family kkkkkk
Ni wa tatu