English shidaa

English shidaa

Kilewa Son

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Eti ukitaka kumuuliza baba yako ww ni mtt wa ngapi kuzaliwa kwa kingereza, utamuulizaje..,!? atakaepata mh....!!
 
Born yet aim nothing far yes please at least come and just for
 
Eti ukitaka kumuuliza baba yako ww ni mtt wa ngapi kuzaliwa kwa kingereza, utamuulizaje..,!? atakaepata mh....!!
Hebu tafsiri kwanza hii tujue pa kuanzia kukupa huo msaada: "Rais aliyepita alikuwa ni wa awamu ya ngapi?" kwa kiswahili...
 
Back
Top Bottom