Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.
Unavyokaza mishipa utadhani wewe ndie kiongozi kumbe mpambe tu, Kwa striker yupi aliepo Yanga mpaka wasimhitaji Mayele? Gwede Gwede au! Porojo za ujenzi wa uwanja ndo unasema Project kubwa? Broda futbol inahitaji investment ya hali ya sio porojo za simba na yanga za kuwahadaa mashabiki ili waendelee kuchangia team.
Over.
 
Huu msimu ushaisha na YANGA ni bingwa, mwana simba yoyote ajitokeze kupinga hili.

Najua mnaumia, msijifanye mna furaha
Nyie ligi saiv mnacheza kama namungo, prison, KMC n.k hamna changamoto.
Msijifiche kwenye guede vs fred, mara mangungu vs hersi.

MNAUMIA SANA, JEURI FC nyie
 
Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids
Mayele ameitetea Simba tofauti na kauli yako:

1707766774274.png
 
Wachezaji wa Mpira wa Kanda hii wasaliti sana.
Haya mambo huwezi kuona kwa kina Sebastian Haller au Victor osimneh au ashraf hakimi :
Huu upuuzi utasikia kanda hii tu .
Kwa akili za haraka za kuvukia barabara wakati fiston ananunuliwa kwa mabilioni ni upande gani walimkejeli ?
Na wakati amepigiwa kura za mshambuliaji bora caf ni upande gani walimkejeli ?
Na wakati ameanza kushuka Kiwango pyramid ni upande gani ulimkejeli ?
Na wakati ameanza kuwekwa benchi timu ya Kongo na Yule mungine kupangwa upande gani ulimkejeli ?

Leo hii bila yanga mayele angejulikana na kuwa maarufu Kama alivyo sasa?
Hii ni sinema ya fei Toto part two .
Kama alivyosema humphrey pole pole watu wakikuchukia watakushushia zengwe lisilo na kichwa wala miguu kama hersi anavyoundiwa sasahivi .
Hersi amekejeliwa kwa kila aina ya kejeli mpaka kuitwa msomali au muhuni au mpenda umaarufu kwa kufumia nafasi yoyote .
Ukiona vita ni kubwa ujue mafanikio yamefika kileleni au yameongezeka au yanakaribia.

Nyongeza : Haji manara ni mvurugaji wa kila sehemu anayoenda, gsm walifanya kosa kumleta yanga , Yule sio supporter wa yanga na wala hatakaa awe yanga , Yule anajulikana ni wa upande gani na huenda sasa yupo Kwenye mission .
 

Attachments

  • F1875B85-AEE0-4DBC-8954-BB5CC64AD0B4.jpeg
    F1875B85-AEE0-4DBC-8954-BB5CC64AD0B4.jpeg
    248.8 KB · Views: 3
  • 6EFC9A02-66BD-446E-B8C5-FBE2829BF418.jpeg
    6EFC9A02-66BD-446E-B8C5-FBE2829BF418.jpeg
    231.3 KB · Views: 2
Umeandika kitabu, ila hii haibidilishi ya kuwa mnamtupia majini mwana,, acheni hizo, nyie uto vipi🤔
Haya majini ya ajabu. Inakuwaje anatembea nayo na anayatangaza kuwa anayo! Hajasema hayo majini yanamfanya nini hata alalamike wakati ameyakaribisha na ameyakumbatia!!!? Uongo mwingine jamani😅😅😅 Wataalam wa majini mko wapi mtuambie inawezekanaje? Mshana Jnr uko wapi bro!!
 
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa

Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.

Katika pitapita zangu leo mitandaoni nimekutana na maneno ya kejeli na yasiyokuwa yakiungwana kutoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele,ambaye amedai viongozi na mashabiki wa Yanga wanamsema vibaya kisa kufanya vibaya kwenye klabu yake ya Sasa klabu ya Pyramids kutoka huko Misri.

Ameenda mbali sana hadi kufikia kuwashutumu mashabiki na viongozi wa Yanga kwamba wamemtupia majini hali inayopelekea yeye kutokufanya vizuri huko aliko!.

Kiukweli nimeshangazwa sana na maneno ya Fiston Kalala Mayele ambaye kwangu hakuwa tu mchezaji hodari kutoka Young Africans bali alikuwa mwanafamilia kwasababu alipendwa na wanayanga kuliko hata wao wenyewe (Mashabiki) kuzipenda familia na ndugu zao!.Leo nimejiuliza maswali mengi sana kama shabiki ukiachilia mimi pia ni mwanachama hai wa Young Africans.

Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids kama alivyokuwa akifanya maajabu Yanga!.Mashabiki wa Yanga wameendelea kumkingia kifua Fiston Kalala Mayele ingawa nao pia wanaelewa kabisa ya kwamba huko aliko hafanyi vizuri kama alivyokuwa Yanga!.

Ilifika mbali mashabiki wa Simba hadi wengine kumdhihaki ya kwa maneno yafuatayo:-

"Shambuliaji la Instagram"

"Kazi ya Mayele kwenye kikosi cha Kongo ni kubeba viatu na simu za wachezaji wenzie"

"Anafikiri Pyramid ni Uto,huko hakuna kubebwa bebwa"

"Hakuna mchezaji hapo,Yanga alibahatisha tu na kubebwa na marefa"

"Tuliwaambia Uto Mayele si Foward,angalia katika mechi 7 hana goli hata moja"

Ndugu zangu hayo ni maneno baadhi ya dhihaka yaliyokuwa yakitolewa na mashabiki wa Simba kwenda kwa Mchezaji Fiston Kalala Mayele.

Kilichonishangaza leo anawalalamikia Mashabiki wa Yanga ambao wamekuwa naye begabega huku wakimtetea kutokana na dhihaka hizo kutoka kwa mashabiki wa Simba!.

Nikiwa kama Mwanchama hai wa Young Africans niliamua kufuatilia na kufahamu ni kitu gani kinaendelea!.

Mtakumbuka hata Feisal Salum alipokuwa akihitaji kuondoka Yanga alianza kuwachafua Viongozi wa Yanga pamoja na Mashabiki ili aonekane Viongozi ni wabaya,na hiki anachokifanya Fiston Kalala Mayele anapita njia ileile kutoka kwa watu walewale ili kwake iwe rahisi kumsafishia njia!.

Kwa habari za uhakika nilizopata kutoka kwa kiongozi ninaye muamini ndani ya klabu yangu ya Yanga ni kwamba,bwana Fiston Kalala Mayele anataka kutolewa kwa Mkopo na Timu ya Azam imeshatuma Ofa ya kumchukua,sababu ya yeye kutolewa kwa mkopo ni kutokufanya vizuri na pia kocha aliyemsajili Fiston Mayele pale Pyramid keshatimuliwa,hivyo kocha wa sasa hana mipango nae kwenye kikosi chake kwa sasa,Hivyo Mayele aliwaambia Azam ya Kwamba "Endapo mkinichukua nyie hamuoni nitatengeneza maadui kutoka kwa timu yangu ya zamani ya Yanga?"

Azam "Hilo wala lisikutishe,wewe utaanza kuwatupia maneno viongozi wa Yanga na mashabiki wao ili ionekane wao ndiyo wanakufanyia na kukuletea matatizo,hiyo kwako itakuwa rahisi"

Ingawa si maneno rasmi na kiongozi aliniambia hakuyasikia popote lakini hata kiongozi amedai (Uenda)hicho ndicho kinachoendelea.

Swali la kujiuliza,Mayele ni mchezaji wa mpira na anatafuta pesa,ameondoka Yanga bado akiwa anapendwa na wanayanga na yeye hilo analijua,Je kwanini aichafue Yanga kwa maneno ya Uongo na Kashfa?

Viongozi wa Azam wanachofanya ni kuchochea chuki ili ionekane Uongozi wa Hersi na Arafat Haji uonekane unaonea wachezaji!.Kama mtakumbuka mwaka jana wakati kila Yanga akitaka kucheza mechi muhimu walikuwa wakimchochea Feisal Salum anaanza vitimbwi,mashabiki walikuwa wanaacha kudili na timu kwenye mechi muhimu wao wanadili na vitimbwi vya Feisal Salum,Viongozi wa Yanga walisimama Imara hadi timu ikabeba Ubingwa na pia kufika fainali ya CAF Confederation Cup!.

Hivyo hivyo leo ambapo viongozi wa Yanga wakiwa wamesimama Imara na kuona Yanga ikisonga mbele kimaendeleo,watu walewale wamemlisha maneno Fiston Kalala Mayele ili kuwatupia lawama viongozi wa Yanga na kutaka kuwatoa mchezoni!

Yanga ya sasa niseme tu haimuhizaji Fiston Mayele,yeye kama anahitaji kwenda Azam aende kwa amani na wala mashabiki wa Yanga hatuna Ugomvi naye!.

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.

Kwa uongozi huu wa Hersi Said,Arafat Haji & Kamati ya utendaji niwahakikishie wanayanga ya kwamba,kuna watu na timu zitaita maji mayi!.

Niwaombe Rais wangu Hersi uendelee kukamatia na kushikilia hapohapo kwasababu kuna watu wanatapatapa kwasababu ya maendeleo haya ya Young Africans!.
Sasa kwa nini mnataka kumuua Mayele, amewakosea nini?
 
Mayele alitakiwa ajiunge na Pyrmaids akijua kuwa watu wote wa sub-sahara wanapocheza timu za Waarabu huwa hawadumu sana na wengi wao hurudi kwenye timu zao za zamani kabla ya kutafuta timu nyingine au hutolewa kwa mkopo kwenye timu ndogo ndogo: Angalia Khalid Aucho, Chota Chama, Luis Miquissone, Simon Msuva,
 
Mayele alitakiwa ajiunge na Pyrmaids akijua kuwa watu wote wa sub-sahara wanapocheza timu za Waarabu huwa hawadumu sana na wengi wao hurudi kwenye timu zao za zamani kabla ya kutafuta timu nyingine au hutolewa kwa mkopo kwenye timu ndogo ndogo: Angalia Khalid Aucho, Chota Chama, Luis Miquissone, Simon Msuva,
Yeye alitegemea ataenda Ulaya moja kwa moja

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Acheni kusingizia Simba hayo ni mambo ya wivu nye na kijana wenu aliyewakimbia kutafuta majukumu mengine.

Mbebeshe majini
Amekiri nye mmemtupia majini
Halafu lawama iwe kwa Simba,mbona kaisema Yanga sio Simba?

Majini Fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is Mayele by then. Why best prayers like Amis Tambwe prayed Dar young African with lots of achievement that Mayele had not ever achieved
But Tambwe has gone to find another challenges out of Young African,still funs are showing respect to him

Mayela aache undava, Anatakiwa ajue yeye hiyo ndio ajira yake, apunguze kumjibu kila mtu mtandaoni
ACHANA NA KIINGLISH BROO.
 
Yanga bingwa, tujipange na msimu ujao.

Simba mmejificha sana
 
Back
Top Bottom