Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

Viongozi wa Yanga hivi sasa wanaproject kubwa mno,hivyo hizi ngonjera wala hazita saidia chochote!.
Unavyokaza mishipa utadhani wewe ndie kiongozi kumbe mpambe tu, Kwa striker yupi aliepo Yanga mpaka wasimhitaji Mayele? Gwede Gwede au! Porojo za ujenzi wa uwanja ndo unasema Project kubwa? Broda futbol inahitaji investment ya hali ya sio porojo za simba na yanga za kuwahadaa mashabiki ili waendelee kuchangia team.
Over.
 
Huu msimu ushaisha na YANGA ni bingwa, mwana simba yoyote ajitokeze kupinga hili.

Najua mnaumia, msijifanye mna furaha
Nyie ligi saiv mnacheza kama namungo, prison, KMC n.k hamna changamoto.
Msijifiche kwenye guede vs fred, mara mangungu vs hersi.

MNAUMIA SANA, JEURI FC nyie
 
Mayele ambaye tangu aondoke Yanga amekuwa akishambuliwa na mashabiki wa Simba mtandaoni kwa kumzodoa kwa kauli mbali mbali za kubeza kwa kuwa hafanyi vizuri kwenye klabu yake ya sasa ya Pyramids
Mayele ameitetea Simba tofauti na kauli yako:

 
Wachezaji wa Mpira wa Kanda hii wasaliti sana.
Haya mambo huwezi kuona kwa kina Sebastian Haller au Victor osimneh au ashraf hakimi :
Huu upuuzi utasikia kanda hii tu .
Kwa akili za haraka za kuvukia barabara wakati fiston ananunuliwa kwa mabilioni ni upande gani walimkejeli ?
Na wakati amepigiwa kura za mshambuliaji bora caf ni upande gani walimkejeli ?
Na wakati ameanza kushuka Kiwango pyramid ni upande gani ulimkejeli ?
Na wakati ameanza kuwekwa benchi timu ya Kongo na Yule mungine kupangwa upande gani ulimkejeli ?

Leo hii bila yanga mayele angejulikana na kuwa maarufu Kama alivyo sasa?
Hii ni sinema ya fei Toto part two .
Kama alivyosema humphrey pole pole watu wakikuchukia watakushushia zengwe lisilo na kichwa wala miguu kama hersi anavyoundiwa sasahivi .
Hersi amekejeliwa kwa kila aina ya kejeli mpaka kuitwa msomali au muhuni au mpenda umaarufu kwa kufumia nafasi yoyote .
Ukiona vita ni kubwa ujue mafanikio yamefika kileleni au yameongezeka au yanakaribia.

Nyongeza : Haji manara ni mvurugaji wa kila sehemu anayoenda, gsm walifanya kosa kumleta yanga , Yule sio supporter wa yanga na wala hatakaa awe yanga , Yule anajulikana ni wa upande gani na huenda sasa yupo Kwenye mission .
 

Attachments

  • F1875B85-AEE0-4DBC-8954-BB5CC64AD0B4.jpeg
    248.8 KB · Views: 3
  • 6EFC9A02-66BD-446E-B8C5-FBE2829BF418.jpeg
    231.3 KB · Views: 2
Umeandika kitabu, ila hii haibidilishi ya kuwa mnamtupia majini mwana,, acheni hizo, nyie uto vipiπŸ€”
Haya majini ya ajabu. Inakuwaje anatembea nayo na anayatangaza kuwa anayo! Hajasema hayo majini yanamfanya nini hata alalamike wakati ameyakaribisha na ameyakumbatia!!!? Uongo mwingine jamaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wataalam wa majini mko wapi mtuambie inawezekanaje? Mshana Jnr uko wapi bro!!
 
Sasa kwa nini mnataka kumuua Mayele, amewakosea nini?
 
Mayele alitakiwa ajiunge na Pyrmaids akijua kuwa watu wote wa sub-sahara wanapocheza timu za Waarabu huwa hawadumu sana na wengi wao hurudi kwenye timu zao za zamani kabla ya kutafuta timu nyingine au hutolewa kwa mkopo kwenye timu ndogo ndogo: Angalia Khalid Aucho, Chota Chama, Luis Miquissone, Simon Msuva,
 
Yeye alitegemea ataenda Ulaya moja kwa moja

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Acheni kusingizia Simba hayo ni mambo ya wivu nye na kijana wenu aliyewakimbia kutafuta majukumu mengine.

Mbebeshe majini
Amekiri nye mmemtupia majini
Halafu lawama iwe kwa Simba,mbona kaisema Yanga sio Simba?

Majini Fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHANA NA KIINGLISH BROO.
 
Yanga bingwa, tujipange na msimu ujao.

Simba mmejificha sana
 
Kwanini mnataka kumuua Mayele?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜† mkuu
Failure ni mbaya, usipokuwa jasiri huwez kuinuka tena.
Mayele katika uhalisia ana depression, thus anaongea bila kufikiria.
Akomae, na afanikiwe ili roho itulie.
Me yanga lkn najua mayele ni misukosuko inafanya ahisi huo ujinga.
Bado tunampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…