Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwa kweli Ali Kiba nimeanza kumsikia rasmi kama msanii kwenye Nakshi NakshiHilo halina ubishi Abbyskills na Blue wamejulikana kabla ya Kiba. Watu wameanza mnote Kiba aliposhiriki ngomaya Abby skillz inaitwa Maria tena napo aliomba sana baadae akaja tokea kwenye ngoma ya Queen darlin inaitwa wajua
Nkashi nakshi hiyo baadae sana ashatoa cindarella ikawa wimbo wa taifa. Kiba ngoma zake za kwanza ni njiwa na alikiba sijui mimi nalia.Kwa kweli Ali Kiba nimeanza kumsikia rasmi kama msanii kwenye Nakshi Nakshi
Kabla ya hapo nikajua ana beep game
Hio njiwa niliisikia lakini sikuuelewa/sikuupendaNkashi nakshi hiyo baadae sana ashatoa cindarella ikawa wimbo wa taifa. Kiba ngoma zake za kwanza ni njiwa na alikiba sijui mimi nalia.
Muongeze na Maunda Zorro hapo mkuu. Kweli vya kale ni dhahabuNa vumilia a.ka Vumilia yupo wap nae? Zaman watu walikuwa wanaimba vitu vinavyo ilenga jamii moja kwa moja, ila sasa uwezi ata sikiliza mziki na mama ukiwa umekaa na ako
Roy aliwahi fanya kazi sound crafters? Ninavyojua alikuwa G-records baadae wakapishana akaanzisha G2-records na kule G-records akwaepo KGT aliyeteneneza ngoma za akina alikibaMwaka huu Oktoba 6, Roy Bukuku anatimiza miaka 12 toka atutoke hapa duniani..... R.I.P Roy wa Sound-Crafters then G-Records.
Maunda naskia yuko ka tejaMuongeze na Maunda Zorro hapo mkuu. Kweli vya kale ni dhahabu
Nafikiri wimbo wa kwanza ulikuwa Alikiba mi naliaNkashi nakshi hiyo baadae sana ashatoa cindarella ikawa wimbo wa taifa. Kiba ngoma zake za kwanza ni njiwa na alikiba sijui mimi nalia.
Ulianza kati ya njiwa au alikiba mi nalia ndipo ikaja cindarella, Naksh Naksh mrembo aliutoa baada ya kurelease album akawa anaachia ngoma moja moja ya back 2007. Kulikuwa na ngoma kama sabrina, ukiniona, na mengine ile album ilikuwa balaa tupuNafikiri wimbo wa kwanza ulikuwa Alikiba mi nalia
Then Cinderella ukahit sana 2006-2007Nakshi Nakshi ulikuwa wimbo wa tatu kuwa released 2007 if am not mistaken.
Mama yangu mamaaaNa vumilia a.ka Vumilia yupo wap nae? Zaman watu walikuwa wanaimba vitu vinavyo ilenga jamii moja kwa moja, ila sasa uwezi ata sikiliza mziki na mama ukiwa umekaa na ako
Mbona hizi verse za ngoma ya banana zorroMama yangu mamaaa
Wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Sijui wanaendeleaje mbele
Ndio ni zakeMbona hizi verse za ngoma ya banana zorro
Hivi D-knob yuko wapi maana simsikii siku hizi.Ndio ni zake
Sina clueHivi D-knob yuko wapi maana simsikii siku hizi.
Lakini kila zama zina kitabu chake mkuu. Acha hayo matusi yatawale kama tu ndio kinachopendwa sokoni sasa. Kuna siku mwingine atauliza Nandy yuko wapi, that's life.
Mawazo yako mamaaa..Mama yangu mamaaa
Wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Sijui wanaendeleaje mbele
Huu wimbo ulikuwa wa Banana ZoroMama yangu mamaaa
Wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Sijui wanaendeleaje mbele
Mkuu hii album ilikuwa moto sana. Niliipenda na kuna ngoma nikiskia hadi leo naona zinanipa mzuka.Ulianza kati ya njiwa au alikiba mi nalia ndipo ikaja cindarella, Naksh Naksh mrembo aliutoa baada ya kurelease album akawa anaachia ngoma moja moja ya back 2007. Kulikuwa na ngoma kama sabrina, ukiniona, na mengine ile album ilikuwa balaa tupu