Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

Hilo halina ubishi Abbyskills na Blue wamejulikana kabla ya Kiba. Watu wameanza mnote Kiba aliposhiriki ngomaya Abby skillz inaitwa Maria tena napo aliomba sana baadae akaja tokea kwenye ngoma ya Queen darlin inaitwa wajua
Kwa kweli Ali Kiba nimeanza kumsikia rasmi kama msanii kwenye Nakshi Nakshi
Kabla ya hapo nikajua ana beep game
 
Kwa kweli Ali Kiba nimeanza kumsikia rasmi kama msanii kwenye Nakshi Nakshi
Kabla ya hapo nikajua ana beep game
Nkashi nakshi hiyo baadae sana ashatoa cindarella ikawa wimbo wa taifa. Kiba ngoma zake za kwanza ni njiwa na alikiba sijui mimi nalia.
 
Na vumilia a.ka Vumi yupo wap nae? Zaman watu walikuwa wanaimba vitu vinavyo ilenga jamii moja kwa moja, ila sasa uwezi ata sikiliza mziki ukiwa umekaa mama ako
 
Mwaka huu Oktoba 6, Roy Bukuku anatimiza miaka 12 toka atutoke hapa duniani..... R.I.P Roy wa Sound-Crafters then G-Records.
Roy aliwahi fanya kazi sound crafters? Ninavyojua alikuwa G-records baadae wakapishana akaanzisha G2-records na kule G-records akwaepo KGT aliyeteneneza ngoma za akina alikiba
 
Nkashi nakshi hiyo baadae sana ashatoa cindarella ikawa wimbo wa taifa. Kiba ngoma zake za kwanza ni njiwa na alikiba sijui mimi nalia.
Nafikiri wimbo wa kwanza ulikuwa Alikiba mi nalia
Then Cinderella ukahit sana 2006-2007Nakshi Nakshi ulikuwa wimbo wa tatu kuwa released 2007 if am not mistaken.
 
Nafikiri wimbo wa kwanza ulikuwa Alikiba mi nalia
Then Cinderella ukahit sana 2006-2007Nakshi Nakshi ulikuwa wimbo wa tatu kuwa released 2007 if am not mistaken.
Ulianza kati ya njiwa au alikiba mi nalia ndipo ikaja cindarella, Naksh Naksh mrembo aliutoa baada ya kurelease album akawa anaachia ngoma moja moja ya back 2007. Kulikuwa na ngoma kama sabrina, ukiniona, na mengine ile album ilikuwa balaa tupu
 
Na vumilia a.ka Vumilia yupo wap nae? Zaman watu walikuwa wanaimba vitu vinavyo ilenga jamii moja kwa moja, ila sasa uwezi ata sikiliza mziki na mama ukiwa umekaa na ako
Mama yangu mamaaa
Wewe ni nguzo maishani mwangu
Taa imulikayo mbele yangu
Sijui wanaendeleaje mbele
 
Baba yake fundi Tv Tabata na alikua amepanga acha kumpaza
Lakini kila zama zina kitabu chake mkuu. Acha hayo matusi yatawale kama tu ndio kinachopendwa sokoni sasa. Kuna siku mwingine atauliza Nandy yuko wapi, that's life.
 
Jamaa nae kapotea sana ya familia yao wote wamepotea sana sahv. Tumeimis tena ile B-BAND
 
Ulianza kati ya njiwa au alikiba mi nalia ndipo ikaja cindarella, Naksh Naksh mrembo aliutoa baada ya kurelease album akawa anaachia ngoma moja moja ya back 2007. Kulikuwa na ngoma kama sabrina, ukiniona, na mengine ile album ilikuwa balaa tupu
Mkuu hii album ilikuwa moto sana. Niliipenda na kuna ngoma nikiskia hadi leo naona zinanipa mzuka.
 
Back
Top Bottom