Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwa kweli Ali Kiba nimeanza kumsikia rasmi kama msanii kwenye Nakshi NakshiHilo halina ubishi Abbyskills na Blue wamejulikana kabla ya Kiba. Watu wameanza mnote Kiba aliposhiriki ngomaya Abby skillz inaitwa Maria tena napo aliomba sana baadae akaja tokea kwenye ngoma ya Queen darlin inaitwa wajua
Kabla ya hapo nikajua ana beep game