Enika wa changanya changanya yuko wapi?Haya matusi ya akina Nandy yanaua kizazi

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kweli bila kumtumikia ibilisi hii dunia unapotezwa upesi sana.Akina Nandy na matusi yao wana trend na wataendelea kwa nguvu ya vyombo vya habari vingi vikiwa vya ki illuminat.

Naukumbuka sana wimbo changanya changanya ukiwa mzuri,unachezeka,na wenye kugusa hisia sana na kikubwa ukiacha mafunzo.

Uko wapi Enika?
 
Yupo ana deal na matangazo sana. Enika hakupotezwa ila baada ya kaka yake Prod. Roy kufariki naye akaachana na mambo ya mziki
 
Kaka yake roy alikuwa anambeba.. marehemu kafa na chake..

Mziki wa sasa hivi unahitaji ujuzi zaidi ya sauti nzuri.... huo ujuzi enika hana.. kina nandy wanao..

Mfano mzuri tazama spidi aliyotolewa nayo zuchu.. ma video ya ukweli plus featuring za ukweli kama qarantine.. yaani unalazimishwa umuelewe zuchu.. sasa enika anawezea wapi hayo mambo na blaza kafa
 
Dah..na ufatiliaji wangu wote wa muziki na kujiona mtoto wa mjini sikuwahi fahamu km Enika na Roy walikuwa ndugu!
" Kifo Cha Roy ,Sio Enika tuu kwetu pia Ni pigo/
Muulize Noorah au Mr blue km unazani Uongo/
Haiku ndogo simanzi ili tu touch km Duke

Moja Kati ya line Bora kabisa ya za Jay Moe famous kwenye wimbo alioshirikishwa na mteule mwenzake Solothang ..ngoma inaitwa Family .... kupitia hiyo line na mm ndo nkagundua kua Enika alikua mdogo wake Roy ....
 
Kaka yake roy alikuwa anambeba.. marehemu kafa na chake..

Mziki wa sasa hivi unahitaji ujuzi zaidi ya sauti nzuri.... huo ujuzi enika hana.. kina nandy wanao..

Mfano mzuri tazama spidi aliyotolewa nayo zuchu.. ma video ya ukweli plus featuring za ukweli kama qarantine.. yaani unalazimishwa umuelewe zuchu.. sasa enika anawezea wapi hayo mambo na blaza kafa
[emoji817] nakubaliana na ww
 
Wengi wamepotea baada ya Roy kuondoka naona blue tu ndio kakaza ila akina Abbyskills,Noorah na wengineo wameshindwa survive nakumbuka ngoma ya Abby Ntakufa na wewe featuring blue mwisho kabisa blue alikuwa na kasauti flan hv anataja "G records Roiiiiiiiiii"
 
Ile ngoma kaiandika blue na kumpa Abbyskills. Na kabla ya kumpa hiyo ngoma alitka ampe mapozi ila akaamua aimbe mapozi akampa hiyo. Kipindi hicho Ali Kiba ni chawa anawafuaa fuata
 
Nandy wa kabla na baada ya Ruge ni tofauti. At least anakomaa kubaki katika peak
Faustine Charles Mfinanga kwao kuna hela ya toka enzi na enzi,babu yake mzee mfinanga alikuwa na pesa sana, kwa hyo pesa yote akampa mzee charles, mchaga mwenzangu bilinas akimuoa nandy ujue kabsa kaolewa yeye, kwao bilinas ni tia mma tia mma
 
Kama akina nandy wana ela mbona yeye nandy anasema kakulia maisha ya dhiki kwenye nyumba ya kupanga hata baba yake hakuwahi jenga nyumba kaja wajengea yeye wazazi wake?
 
Kongo kale, nenda Pale Moshi Mtaa wa Majengo uliza Mzee Mfinanaga alikuwa ni nani,
Mimi sijabisha kwasbau mimi nje ya mziki na interview zake simfahamu, ila yeye mwenyewe mara zote anasema maisha yao yalikuwa magumu. Na kati ya vitu ambavyo alikuwaga anatamani ni vile wenzake walikuwa wakimwambia kuwa hiki chumba changu, hiki cha dada, hiki cha baba kitu amabcho kwao hakikuwepo walikwua wanaishi nyumba ya kupanga.
 
Kaka yake roy alikuwa anambeba.. marehemu kafa na chake..

Mziki wa sasa hivi unahitaji ujuzi zaidi ya sauti nzuri.... huo ujuzi enika hana.. kina nandy wanao..

Mfano mzuri tazama spidi aliyotolewa nayo zuchu.. ma video ya ukweli plus featuring za ukweli kama qarantine.. yaani unalazimishwa umuelewe zuchu.. sasa enika anawezea wapi hayo mambo na blaza kafa
Ni mapema mno aya unayoyasema kuhusu huyo Zuchu, ni vile tu yuko kwenye label ambayo iko vzuri kwa sasa. Pale mnapotaka kulazimisha mtizamo wenu kwa Zuchu uwe ni wa kila mtu,ila mwisho wa siku muda na number zitaongea.
 
Back
Top Bottom