ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

Asante mkuu,

Umesoma "Philosophy of Religion: An Anthology"?

Kama hujasoma naki attach hapa.

Mimi napenda sana chapter ya "The Problem of Evil"

PART IV The Problem of Evil page 276
Shukrani sana mkuu
 
Mshana jr nampenda sana ; ni BINADAMU YUKO WAZI sana. Nyie mnatumia NGUVU NYINGI mno KWA SABABU hamko WAZI. HAKUNA watu ninaowachukia KAMA WATU wanafiki, AU wachawi
Kijana uko sawa??

Nenda Pm ya Mshana Jr unwambie unampenda sana, huenda umequote comment isiyohitaji jibu lako.
 
Chochote cheusi kishakuwa ni alama mbaya. Iwe kwa VIUMBE hai,mimea na vingine vingi. Nimesomea wanyama pori. Kila kiumbe kizuri,kinaanza na neno white.
 
Chochote cheusi kishakuwa ni alama mbaya. Iwe kwa VIUMBE hai,mimea na vingine vingi. Nimesomea wanyama pori. Kila kiumbe kizuri,kinaanza na neno white.
Hivyo kuna kitu nyuma yake kwanini isiwe chekundu?
 
Ma
la
hawa ni malaika ambao kwa kuwaangalia walionekana kuchoka sana, weusi, na muda wote walikuwa wakilia machozi meusi tii, na wanalia kila dakika. Yaani pamoja na kunyongwa huko, hawakuwa wamekufa.
Watu weusi tuna shida. Kila kilicholaaniwa na kibaya ni cheusi. Duh!
 
Mkuu,naomba unikumbushe mistari ya bibie ambayo inaeleza jinsi Maria Magdalena alivyotokewa na malaika.Amen mtumishi. 🙏
Kumbukumbu zangu ni kwamba bikra maria ndo alitokewa na malaika hyo ipo kwenye kitabu cha luka toka sura ya kwanza, kuhusu magdalena labda nimesahau
 
Unawatofautishaje Maria Magdalena na Maria mama wa Yesu?Au ni mmoja?
Ni watu wawili tofauti, mariam Magdalena ana historia ndefu lkn kwa kifup ndo yule mwanamke kahaba aliemfuta yesu miguu kwa machozi yake, na ndie aliekutana na yesu wakwanza baada ya kufufuka, na ndie aliepamba kaburi la yesu kwa manemane. Hayo yote yalitokea baada ya historia ndefu nyuma yake
 
Unadai kuwa hiki kitabu kiliondolewa mnamo mwaka 325 K.K., sasa wewe ulikipataje na kukisoma?
Tutumie na sisi soft copy tukisome.


 
Unadai kuwa hiki kitabu kiliondolewa mnamo mwaka 325 K.K., sasa wewe ulikipataje na kukisoma?
Tutumie na sisi soft copy tukisome.
Kiliondolewa kwenye biblia na kuhifadhiwa(tuite kufichwa?).Kipo.
NB:Kila niionapo id yako inanikumbusha mikoa ya Tabora,Mwanza na Shinyanga enzi hizo za jeshi la sungusungu lilipokua linawasensemya wahalifu/wakosaji.
 
Kiliondolewa kwenye biblia na kuhifadhiwa(tuite kufichwa?).Kipo.
NB:Kila niionapo id yako inanikumbusha mikoa ya Tabora,Mwanza na Shinyanga enzi hizo za jeshi la sungusungu lilipokua linawasensemya wahalifu/wakosaji.
Nitumie basi soft copy
 
Watu walijuaje kama ni musa na eliya
 
Watu walijuaje kama ni musa na eliya
Karama ya rohoni; Petro aliwatambua
Wakati huo Mussa alikuwa na zaidi ya miaka 1500 tangu afariki, na hapakuwa na teknoloji yoyote ya kuweza kutunza kumbukumbu wakati huo
The earliest teknoloji kwa kizazi chetu hiki inaweza kuwa traced si zaidi ya miaka 600 BC. Kuanzia pale ndiyo teknoloji ya kutunza kumbukumbu ilianza.
Ndiyo maana hadi sasa hatuwezi kujua mapiramidi ya Misri yalijengwa kwa namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…