Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

ukweli ni kuwa kila kitu sikuhizi kinakuwa noemal....wanamuziki wa leo huwezi kuwalinganisha na 2000s au kabla ya 2000s...
ben paul si Mr. Paul, Juma Nature si Bilnass Young Thug si LilWayne, Marioo si Q jay...Nigger J siyo One the incredible, 2pac, Big siyo Kendrick lamar so huwezi kulinganisha Ed na Enrique tena usijaribu utapigwa mawe....
 
Ila bwana Enrique akikutana na sean song lazima liwe🔥🔥🔥🔥🔥
Sikiliza sasa hapa mafundi ( Whitney Houston, Enrique Iglesias - Could I Have This Kiss Forever )

 
Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
Hongera Sana mkuu
 
Japo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is ❤
Nqa uzuri unachangiamo.

Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.

Enrique pamoja na Umri kwenda ana swags (runs in the family naona.babake alikuwa anasumbua na yeye)
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Eti nywele kama shivo,umenikumbusha monkey wa journey to the west,itv walijua kutukamata kipindi kile🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I have even seen miracles
I've seen the pain disappear
But still haven't seen anything that amazes me quite like you do,
Achana kabisa na enrique,
 
Back
Top Bottom