Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Huyu mwamba Kuna ngoma alipiga na Ciara,wanavunjavunja mavikombe Nini,khaaaaa mwamba fundi sana
Ile ngoma nakumbuka club,shemu wako na mie tulikuwa tunacheza pamoja.. kama vile enriqu na ciara vile

 
Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro

Watu mna nyota mm wangu anajua za kilugha tu, akina Fwenya mulamu.
 
Naonaga mke wangu anamkubali sana Enrique Iglesias.
 
Enrique Iglesias yupo juu aisee

Bailamos
You are my number one
Rhythm divine
Alabao
Should I have this kiss forever ft Whitney Houston
nk,nk

Alishawahi kutajwa kama" the sexiest man on earth"
 
Enrique Iglesias yupo juu aisee

Bailamos
You are my number one
Rhythm divine
Alabao
Should I have this kiss forever ft Whitney Houston
nk,nk

Alishawahi kutajwa kama" the sexiest man on earth"
Tunazungumzia muziki au sexy people?
 
Enrique Iglesias yupo juu aisee

Bailamos
You are my number one
Rhythm divine
Alabao
Should I have this kiss forever ft Whitney Houston
nk,nk

Alishawahi kutajwa kama" the sexiest man on earth"
Dimelo/Do you know
Only woman
Why not me
Little girl
Coming home
Bailando
Ayer
Maybe
 
Back
Top Bottom