Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
Hongera wengine tuna sauti ya zege tukiimba bora kuongea
 
This dude is yummie tu jamani watuache kidogo
So yummie
20201211_200124.jpg
 
Kuna mwanaume anaweza akawa amekukosea..ila akikuangalia tu na kuanza kuongea..wallah utajikuta wewe ndiyo waomba msamaha sasa bado hajaanza kukuimbia..uwiii!!..mnyevuko na vichururuuu😋...mwanaume mfano wa Enrique unamkaziaje kwa mfano..!!!😂😂💃💃💃💃
Umeongea ukweli mtupu.. tena umetoka moyoni.. sura beberu acha wapambane na hali zao 🥸
 
Ngoja nizisikize..na ka weekend kalivyo katam Sasa😍
Safi sana.. hapa sijutii kupitia huu uzi wa Twin wangu Enrique 🥸🥸

 
Back
Top Bottom