Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Enrique Iglesias vs Ed Sheeran

Huo wimbo ulinipa mke buashee, maana nilikua nafanya kumuimbia kabisa, demu akaona huyu sio ndio hero mwenyewe, nikaweka ndani mazima mpaka leo ni my wife wangu na tuna watoto wawili

Bado unamwimbia?
 
Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
Waoh!!
 
Japo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is ❤
Nqa uzuri unachangiamo.

Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.

Enrique pamoja na Umri kwenda ana swags (runs in the family naona.babake alikuwa anasumbua na yeye)
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Naunga mkono
 
Kwamba sisi wadada tuchague nani mwanamuziki mzuri kati ya hawa wawili.

Kuna kitu mnatutafuta.
 
Attachments

  • images (45).jpeg
    images (45).jpeg
    24 KB · Views: 6
  • images (44).jpeg
    images (44).jpeg
    17.9 KB · Views: 5
Bado unamwimbia?
Hivi majuzi alikasirika, sikua na lugha ya kuomba msamaha mkuu maana kosa nililomfanyia halisameheli kirahisi, nilivorudi kutoka job nikamkuta amelala analia tu, nikaenda kuoga kwanza halafu nikapiga msosi, nikaingia chumbani nikakuta amelala sasa sijui kama alikua amelala au anajifanyisha, nikaanza kuimba ule wimbo wa boyzone "Baby can i hold you tonigh" baada muda nikaona anasmile halafu nikamwambia am sorry, akajisemesha hapo kalalamika na vilio vingi nikambembeleza yakaisha
 
Japo ni mwanamuziki wa nyakati mbili tofauti, Enrique is [emoji173]
Nqa uzuri unachangiamo.

Ed ana sura personal sana ya kizungu plus na zile nywele.
Kama Shivo.
Hapana kwa kweli.
My yes to Enrique.
Mana wote wana sauti nzuri, mashairi mazuri.

Enrique pamoja na Umri kwenda ana swags (runs in the family naona.babake alikuwa anasumbua na yeye)
Ed mzungu wa Mashariki ya Mbali mno banaaa.
Enrique is something men
 
Kuna mwanaume anaweza akawa amekukosea..ila akikuangalia tu na kuanza kuongea..wallah utajikuta wewe ndiyo waomba msamaha sasa bado hajaanza kukuimbia..uwiii!!..mnyevuko na vichururuuu😋...mwanaume mfano wa Enrique unamkaziaje kwa mfano..!!!😂😂💃💃💃💃
 
Hahahahhahahhahaha
Nacheka huku kama fwaaaala
 
Back
Top Bottom