snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππTumuue tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππTumuue tu
ππππππ ...au naongopa????!!Hahahahhahahhahaha
Nacheka huku kama fwaaaala
Sa unaongopaje wallahi.ππππππ ...au naongopa????!!
πππππ Acha kabisa.Sa unaongopaje wallahi.
Kuna these eyes hakyamama.
Ziko na piercing feelings flaaaaan hivi.
Weeee, walisema tuangalie hits na sauti.
NakaziaEd anaimba sawa..ila kumfananisha na Enrique si sahihi, mkongwe ni mkongwe tu unaweza kuta ni moja ya role model wa Ed
Mwenzaangu tumevushaaaaaπππππ Acha kabisa.
Embu tujikite kwenye madaπππππ
Si ndo hapoooEd anaimba sawa..ila kumfananisha na Enrique si sahihi, mkongwe ni mkongwe tu unaweza kuta ni moja ya role model wa Ed
Izo ni stories za zamani, vijana wa sasa ivi hadi mama yenu mdogo akubali ni pale anaona unakata roho ndio hapo mnapoanza kuwa wapenziYes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro
Enrique Iglesia ni legend!
Huyu edsheran ashindane na watoto kama Khalid na Shawn Mendez!
Daah we jamaa banaIzo ni stories za zamani, vijana wa sasa ivi hadi mama yenu mdogo akubali ni pale anaona unakata roho ndio hapo mnapoanza kuwa wapenzi
Jamani..jamani.. Enrique [emoji7][emoji7] acheni bwana..wa juu anasura ya watu wa zamani[emoji2]
Am not blowing my own horn or anything [emoji28] but am the best ...
πππππ Usije shangaa Mimi kuwa mwenyeji wakoπMbinguni utapasikia tu![emoji28]
Kosa la jinai sana kukipenda kitu au mtu halafu kutokijua vizuri hata jina.Am not blowing my own horn or anything π but am the best ...
Huu wimbo ni mkali sana uliwa umetulia unausikilizKipindi cha nyuma kabla sijaacha kusikilza rnb Nikisikilza Rythm Devine ya Enrique huwa nasema ni msanii bora kbs aliyajaliwa sauti.