Yes ndugu, Mungu amenijalia sauri nzuri ya kuimba, sasa huyu mama nilikua nampenda na nilijua udhaifu wake alikua anapenda sana soft songs, nikajisogeza karibu, siku moja ilikua birthday yake nikamwomba twende out, hapo alikua ananizungusha bado mara staki nataka, nikasema ngoja nijitose tu liwalo na liwe, baada ya dinner nikamwambia nina zawadi yako ya birthday, halafu nikashusha hilo songi, demu mpaka mavhozi yakamtoka, basi kuanzia hiyo siku nikaanza kula kimasikhara, akikasirika tu namwimbia anatulia mpaka leo ni lovely wife with beautful kids bro