Entertainment media Bongo zinarudisha nyuma harakati za maendeleo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Online media zimekuwa na mchango mdogo katika Ukuaji wa maendeleo ya siasa na uchumi kwa ujumla hapa nchini.

Nafikiri inatokana na uhuru wa kumiliki pamoja urahisi wa upatikanaji wa taarifa za Udaku jambo ambalo linaharibu na kubomoa reasoning capacity ya wamiliki wa media.

Unapotazama media za Tanzania hakuna ubunifu,Kuna uniformality ya taarifa na hakuna clarification ya habari kama inavoifanyika kwa habari za Udaku.

Fikra za vizazi vyetu vijavyo vinaharibiwa/kulishwa na taarifa zinazosambaza kwenye mitandao kimsingi ni jambo hasi na linaathiri maendeleo endelevu ya jamii yetu.
 
Tatizo ni balance, ukiona asilimia kubwa ya content ni udaku kuliko elimu, technology na policy issues basi tambua public attention nayo itahamia huko.

Media nyingi zitakuletea kile ambacho audience wanatafuta.

Kama watu wanapendelea udaku kuliko content za maendeleo, biashara nayo itafuata demand ya soko, so tatizo ni la media na audience kwa pamoja.
 
Nimeona Kuna jamaa Instagram anajiita uni.store kama sikosei contents zake mashuleni na vyuoni now anapanda chati sana,je tatizo kweli litakuwa jamii yenyewe?

ok,let flash back mwaka 2015 kurudi chini why watu wengi walibase kwenye mambo ya siasa?
Ni kwa sababu mindset za watu zilikuwa zinawaza maendeleo.

Hapa issues ni poor reasoning
 
Magufuli aliua mambo mengi sana ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari

Akaibuka polepole akawa anataka kumshafisha kwa nguvu zote akasahau uhuru wa vyombo vya habari uliuliwa ŕasmi huku yeye akiwa mtu wa karibu wa magufuli anachekelea tu
Matokeo yake yeye katekwa media zinaogopa hata kumzungumzia
 
Nimeona Kuna jamaa Instagram anajiita uni.store kama sikosei contents zake mashuleni na vyuoni now anapanda chati sana,je tatizo kweli litakuwa jamii yenyewe?

ok,let flash back mwaka 2015 kurudi chini why watu wengi walibase kwenye mambo ya siasa?
Ni kwa sababu mindset za watu zilikuwa zinawaza maendeleo.

Hapa issues ni poor reasoning
Interaction ya mwaka 2015 upande wa social medias haiwezi kulingana na hii ya sasa.

Reasoning ya jamii haijashuka, ni ushindani wa kupata attention ndiyo ulio ongezeka sana.
 
Sasa What it is the best kuwa creativity au kufuata mikumbo?
Thus why naona reasoning imeshuka sababu hakuna ubunifu.
Interaction ya mwaka 2015 upande wa social medias haiwezi kulingana na hii ya sasa.

Reasoning ya jamii haijashuka, ni ushindani wa kupata attention ndiyo ulio ongezeka sana
 
Nchi kama nchi tayari imeshaingia shimoni. Kila kitu kipo shaghalabaghala. Hatua tuliyofikia ni ya kila mtu kuipambania familia yake. Kutoka shimoni kwa pamoja haiwezekani tena
 
Sasa What it is the best kuwa creativity au kufuata mikumbo?
Thus why naona reasoning imeshuka sababu hakuna ubunifu.
Creativity na reasoning ni vitu viwili tofauti, ukiona watu wengi wanafuata mikumbo haimaanishi reasoning inakuwa imeshuka, ni vile incentives zinakuwa zimebadilika.

Ndiyo maana creator mwenye ubunifu kama uni.store anaweza kuvunja huo mkumbo na kupata audience kubwa, kama reasoning ingekuwa imeshuka kwa wote, content za elimu zingekuwa hazipati engagement yoyote ile.
 
Well said 😁 ila kushuka haimaanishi kuwa hakuna .
 
Back
Top Bottom