Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
- Thread starter
- #21
Ni kweli!Ni suala la mfumo kuamua. Mtu mmoja hawezi

Japo mostly walengwa ni Gen-Z lakini zina afadhali zaidi ya TBC na mainstream media nyingine za TZ.Online media zimekuwa na mchango mdogo katika Ukuaji wa maendeleo ya siasa na uchumi kwa ujumla hapa nchini.
Nafikiri inatokana na uhuru wa kumiliki pamoja urahisi wa upatikanaji wa taarifa za Udaku jambo ambalo linaharibu na kubomoa reasoning capacity ya wamiliki wa media.
Unapotazama media za Tanzania hakuna ubunifu,Kuna uniformality ya taarifa na hakuna clarification ya habari kama inavoifanyika kwa habari za Udaku.
Fikra za vizazi vyetu vijavyo vinaharibiwa/kulishwa na taarifa zinazosambaza kwenye mitandao kimsingi ni jambo hasi na linaathiri maendeleo endelevu ya jamii yetu.
Hilo halijaja kwa bahati mbaya. Mipango mahususi wa watawalaOnline media zimekuwa na mchango mdogo katika Ukuaji wa maendeleo ya siasa na uchumi kwa ujumla hapa nchini.