Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Nimeona Kuna jamaa Instagram anajiita uni.store kama sikosei contents zake mashuleni na vyuoni now anapanda chati sana,je tatizo kweli litakuwa jamii yenyewe?Tatizo ni balance, ukiona asilimia kubwa ya content ni udaku kuliko elimu, technology na policy issues basi tambua public attention nayo itahamia huko.
Media nyingi zitakuletea kile ambacho audience wanatafuta.
Kama watu wanapendelea udaku kuliko content za maendeleo, biashara nayo itafuata demand ya soko, so tatizo ni la media na audience kwa pamoja.
Magufuli aliua mambo mengi sana ikiwemo uhuru wa vyombo vya habariNimeona Kuna jamaa Instagram anajiita uni.store kama sikosei contents zake mashuleni na vyuoni now anapanda chati sana,je tatizo kweli litakuwa jamii yenyewe?
ok,let flash back mwaka 2015 kurudi chini why watu wengi walibase kwenye mambo ya siasa?
Ni kwa sababu mindset za watu zilikuwa zinawaza maendeleo.
Hapa issues ni poor reasoning
Kuna jambo nilitamani kuliongelea kwenye hili ila litaaharibu meaning ya uzi,but I will bring it later.Magufuli aliua mambo mengi sana ikiwemo uhuru wa vyombo vya habari
Interaction ya mwaka 2015 upande wa social medias haiwezi kulingana na hii ya sasa.Nimeona Kuna jamaa Instagram anajiita uni.store kama sikosei contents zake mashuleni na vyuoni now anapanda chati sana,je tatizo kweli litakuwa jamii yenyewe?
ok,let flash back mwaka 2015 kurudi chini why watu wengi walibase kwenye mambo ya siasa?
Ni kwa sababu mindset za watu zilikuwa zinawaza maendeleo.
Hapa issues ni poor reasoning
Interaction ya mwaka 2015 upande wa social medias haiwezi kulingana na hii ya sasa.
Reasoning ya jamii haijashuka, ni ushindani wa kupata attention ndiyo ulio ongezeka sana
Ni jambo baya sana kwa jamii inayokujaZinatumika sana, Dead Cat Strategy
Inawezekana ila inahitaji somebody mwenye uthubutu.Nchi kama nchi tayari imeshaingia shimoni. Kila kitu kipo shaghalabaghala. Hatua tuliyofikia ni ya kila mtu kuipambania familia yake. Kutoka shimoni kwa pamoja haiwezekani tena
Creativity na reasoning ni vitu viwili tofauti, ukiona watu wengi wanafuata mikumbo haimaanishi reasoning inakuwa imeshuka, ni vile incentives zinakuwa zimebadilika.Sasa What it is the best kuwa creativity au kufuata mikumbo?
Thus why naona reasoning imeshuka sababu hakuna ubunifu.
Ni suala la mfumo kuamua. Mtu mmoja haweziI
Inawezekana ila inahitaji somebody mwenye uthubutu.
Well said 😁 ila kushuka haimaanishi kuwa hakuna .Creativity na reasoning ni vitu viwili tofauti, ukiona watu wengi wanafuata mikumbo haimaanishi reasoning inakuwa imeshuka, ni vile incentives zinakuwa zimebadilika.
Ndiyo maana creator mwenye ubunifu kama uni.store anaweza kuvunja huo mkumbo na kupata audience kubwa, kama reasoning ingekuwa imeshuka kwa wote, content za elimu zingekuwa hazipati engagement yoyote ile.
Nimekuelewa Mkuu.Well said 😁 ila kushuka haimaanishi kuwa hakuna .