Entertainment media Bongo zinarudisha nyuma harakati za maendeleo

Japo mostly walengwa ni Gen-Z lakini zina afadhali zaidi ya TBC na mainstream media nyingine za TZ.
 
Waambie CCM waruhusu star link ile cheap internet, ile inapatikana kila kona ikiruhusiwa, kwa sasa internet ni very expensive inazuia ubunifu
 
Hilo halijaja kwa bahati mbaya. Mipango mahususi wa watawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…