Enyi kaka zetu wenye umri wa miaka 60+ ni muda sahihi sasa wa kuandika wosia kwa familia zenu

Nimwahi kwenda makaburini nikaona makaburi ya wakubwa na watoto. Nakajifunza kifo hakichagui umri. Kumbe sikuelewa vizuri.
Mkuu kifo hakichagui 100% yeyote yule anaweza kufa hata wa siku1 Moja.

Haya ni mawazo/ushauri wangu nimeona Hadi unafikisha miaka60 kama hujaandika wosia ni vyema na haki ukafanya hivyo.

Nimeona vijana under 50 wengi wao hawajajipata Bado hawana miradi wengi wetu tuna nyumba za kuishi na kausafiri.

Hii miaka 60 wengi wao ni retirement tiyari ...nimeekeza huko juu
 
Ila kama hutaki kuandika na unaona siku zimebaki chache unaweza uza kila ulicho nacho ukajilia bata.
Hapana mkuu labda kama huna Watoto. Ujue tukubali tukatae Mali za urithi Kwa mtoto mwenye akili Huwa zinatoa mwelekeo wake wa maisha!!!

Huwezi linganisha na watoto ambao tumeruthi majina ya ukoo pekee yake na mtu Ambae kwao zipo. Utarumia nguvu kubwa sana kutoboa

Angalia hata kwenye siasa wanavyorithishana vyeo wewe usije na connection ni ngumu mnoo.
 
Reactions: Tsh
Andika kwanza wewe! Utakufa lini?
 
Ni maamuzi tu mkuu, esp kama una mitoto inatamani ufe sababu ya mali.
 
Ndiyo maana ukasema wewe ukifa mkeo asiolewe? Marehemu wivu mpaka kaburini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…