Mungu ni mwema.
Mlioenda kanisani mmetuombea lakini?
Hatuombeaani mabaya lakinivitabu vya dini vimesema wazi kuwa "mwandamu aliezaliwa na mwanamke siku za kuishi huseabika" Hivyo ipo siku utatangulia mbele zake iwe kwa umri huo au chini yake maana wote safari yetu ni moja.
Kwa sababu mwanaume wewe ndiye kiongozi wa familia ni vyema na haki kabla hujaondoka hapo ukaacha mwongozo.Nimeshuhudia watoto wa nje ya ndoa hawapati kitu ili hali ni bao lako kabisa...
Ili kuondoa mkanganyiko huo ni vyema sasa kabla ya yote ukaacha wosia kama mwongozo.Kumbuka ukifa bila mwongozo MKE WAKO ATAOLEWA NA MALI ZAKO ZITATAPANYWA OVYO NA HUYO JAMAA.
Basi ili kuondoa hilo njia bora na salama nikuacha wosia ungali ukiwa hai na afya tele.Hii huondoa kila uhuni wa wanawake waroho wa mali hasa kwa watoto wetu wa nje ya ndoa wakaati ipo wazi mtoto wa nje ya ndoa ndo huwa na upendo wa dhati kwetu.Mungu awabriki sana watoto wetu wa nje ya ndoa.
Finaly mali zako kutumiwa na mwanaume mwenzako asiye jua uchungu ulio upitia watoto wako watakulaani siku zote mioyoni mwao.
UZI TIwatotoa