Enyi Madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu

Enyi Madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu

Mimi ndo marafiki zangu sana nawakubali mbona tunakula nao mifumo tunalewa nao wana vibe tu

Kuhusu mambo yao ya kazi me sielewi..labda azingue kwenye operation ila eti kuandikiwa vipimo na dawa ni kazi nayo??Acha wivu
 
Endelea kuwaonea hao madaktari waliosoma Saint Kishoju ambako hamna gym wala wana mazoezi ila ungekuja kwangu mimi wa Muhimbili ambaye jioni nilikuwa nashinda Keko kupasha misuri hata huu uozo usingeweza kuuchapisha maana ningekupiga kama mbwa mwizi [emoji3]

Samahani lakini ukweli madaktari ni miyeyusho kweli hapo bado hajaanza kukuangalia kwa macho ya dharau as if yeye ndiye mtoa uhai .

MCT wanalo la kufanya juu ya vijana hawa au unasemaje rafiki yangu Azimio la kazi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Madaktari hawa watoto aseehh ni stress tupu Jamani
 
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
hakuna kinachoshindikana hata wewe unaweza.........
 
Baadhi yao wako kazini kwasababu wamesoma kwa mikopo,ambayo ni kodi zetu,badala watuhudumie kwa ari,wao wanaona kama wanatusaidia,hawajui tunasaidiana.Huyo kakosea sana,anatakiwa amjali mteja,amsikilize inavyotakiwa with empathy,ashirikiane na mteja wake,watatue tatizo liliokua limekupeleka.Kazingua sana.
Kumbuka wenginewalisoma kupata sifa kitaa na sio kwa huduma, hivyo lazima wavimbe muwape hiyo sifa kuwa wao vichwa... Wanajiita Dr. Kijana😁😁😁
Serikali isipoweka performance management inayohusisha wateja yaani kupata maoni ya wagonjwa juu ya utendaji wao, sio vile vibox vya sanduku la maoni vilivyo wekwa mbele pale no😁😁 na kusimamia vema hayo maoni utegemee mauzauza kibao, vijana wengi hawako serious na kazi zao... Simu na mtandao ya kijamii ndio haswa vipaumbele vyao... Tutakua Sana.
 
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi yao wako kazini kwasababu wamesoma kwa mikopo,ambayo ni kodi zetu,badala watuhudumie kwa ari,wao wanaona kama wanatusaidia,hawajui tunasaidiana.Huyo kakosea sana,anatakiwa amjali mteja,amsikilize inavyotakiwa with empathy,ashirikiane na mteja wake,watatue tatizo liliokua limekupeleka.Kazingua sana.
Tatizo la mibongo mnataka watu wafanye kazi bure.

Stupid.

Kati ya huyo Daktari ni Nani mlipa Kodi?
 
Back
Top Bottom