ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Madaktari hawa watoto aseehh ni stress tupu JamaniEndelea kuwaonea hao madaktari waliosoma Saint Kishoju ambako hamna gym wala wana mazoezi ila ungekuja kwangu mimi wa Muhimbili ambaye jioni nilikuwa nashinda Keko kupasha misuri hata huu uozo usingeweza kuuchapisha maana ningekupiga kama mbwa mwizi [emoji3]
Samahani lakini ukweli madaktari ni miyeyusho kweli hapo bado hajaanza kukuangalia kwa macho ya dharau as if yeye ndiye mtoa uhai .
MCT wanalo la kufanya juu ya vijana hawa au unasemaje rafiki yangu Azimio la kazi
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
hakuna kinachoshindikana hata wewe unaweza.........Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.
Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.
Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
Kumbuka wenginewalisoma kupata sifa kitaa na sio kwa huduma, hivyo lazima wavimbe muwape hiyo sifa kuwa wao vichwa... Wanajiita Dr. KijanaπππBaadhi yao wako kazini kwasababu wamesoma kwa mikopo,ambayo ni kodi zetu,badala watuhudumie kwa ari,wao wanaona kama wanatusaidia,hawajui tunasaidiana.Huyo kakosea sana,anatakiwa amjali mteja,amsikilize inavyotakiwa with empathy,ashirikiane na mteja wake,watatue tatizo liliokua limekupeleka.Kazingua sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.
Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.
Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
Tatizo la mibongo mnataka watu wafanye kazi bure.Baadhi yao wako kazini kwasababu wamesoma kwa mikopo,ambayo ni kodi zetu,badala watuhudumie kwa ari,wao wanaona kama wanatusaidia,hawajui tunasaidiana.Huyo kakosea sana,anatakiwa amjali mteja,amsikilize inavyotakiwa with empathy,ashirikiane na mteja wake,watatue tatizo liliokua limekupeleka.Kazingua sana.