Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Enyi ndugu Waislamu, funga yenu isifanye wasiofunga wateseke

Ndugu zangu, juzi nikiwa katika pita zangu mitaa ya Kariakoo, baada ya mizunguko kadhaa nikaona ngoja niingie moja ya maduka makubwa ya Bakhresa yanayouza vinywaji baridi ili nipoze koo kidogo.

Baada ya kuingia katika duka lile nilimkuta muhudumu mmoja hivyo nikamuomba anipatie kinywaji.

Ajabu akaniambia hatuuuzi vinywaji muda huu nikamjibu kwa nini? Akanijibu mwezi wa Ramadhani hatuuzi vinywaji mchana mpaka saa moja usiku.

Nikamuuliza sasa kama hamuuzi mmefungua kwa nini? Jamaa akaendelea kunijibu kwa ukali nimesema hatuuzi chochote muda huu.

Ndugu zangu Waislamu kama mnajua hamtoi huduma kwa kuwa mpo kwenye funga ni bora mkafunga kabisa ili tujue moja.
Haya tutamwambia Bakhresa.

Si ufunge tu na wewe.
 
IMG-20230324-WA0066.jpg
 
Tangu ramadhan imeanza ni mwendo wa kushambulia waislamu na uislamu kwa ujumla

Mwenyezi Mungu anasema; "Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)
 
Ili tuwavunjie heshima?
Lakini tuwavumilie tu wengine ndio hulka yao tu
Mungu atupe Subra kila wakati

Mada hizi tunaziona kila siku ila tuzipuuze tu

Tangu ramadhan imeanza ni mwendo wa kushambulia waislamu na uislamu kwa ujumla

Amesema Mwenyezi Mungu . "Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)
 
Back
Top Bottom